Tendo la ndoa

Sir Elton John ameolewa, ndoa inatambulika kidini (Anglikana) na kisheria pia. Sasa yeye analawitiwa au anafanya tendo la ndoa?
 
Sir Elton John ameolewa, ndoa inatambulika kidini (Anglikana) na kisheria pia. Sasa yeye analawitiwa au anafanya tendo la ndoa?

imenichekesha mno! Bora kutumia tendo la ndoa tho jamaa analiwa kiboga! Kulawitiwaaa...dah
 
Elton John wanajamiiana na siyo tendo ndoa ambalo lina maana pana zaidi ya msingi ikiwa ni kuzaa. Usiniulize wanyama wanatenda tendo la ndoa, jibu ni ndio maana ndivyo ilivyo wao kufunga ndoa kwa taratibu walizozikuta walipozaliwa hapa duniani. Hivyo hata hapo zamani tendo la ndoa lilikuwapo.
 
Tendo hili lina majina mengi , kulingana na wanaolifanya, linaweza kuwa uzinzi,uasherati, kama si kwa wanandoa halali, lkn kwa wana ndoa nadhani jina sahihi ni kujuana
 
Tendo hili lina majina mengi , kulingana na wanaolifanya, linaweza kuwa uzinzi,uasherati, kama si kwa wanandoa halali, lkn kwa wana ndoa nadhani jina sahihi ni kujuana
 
tafsida tunaitumia sana. lakini ni customs zetu hivyo hatuhitaji kulaumu. Ndiyo hiyo (customs zetu) inatufanya tuitwea Watanzania na siyo vinginevyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom