Recent content by giraffe

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kufa jana

    Mie Toka ninusurike kuchukuliwa na chunusi pale osterbay beach mwaka 1990.Nikajua Kuna mstari mwembamba sana kati ya ardhi na mbinguni.ilikuwa Chrismas
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

    Naomba nije kupanga kwako,ulikuwa unamdai kistaarabi sana ndomaana amekuchezea
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisababisha usihudhurie kwenye msiba wa ndugu yako wa damu?

    Anti kessy miaka ya 90 nilikuwa namuona maeneo ya sayansi kijitonyama akivuka Barbara ya bagamoyo uku akijitingisha vitako vyake
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

    Mwache atafute ugari wake,siasa ndo kazi yake.Ila prof dhis time ukipata ubunge jipange ndugu yangu najua unajua nini cha kufanya.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Nilipeleka mkono kwenye K yake akaniambia embu ACHA kuchezew mali zangu!! Nikasema hakuna mkitu apa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Enzi izooo,pensi linafika magitini fundi anakuwekea solobroshen a.k.a Marinda
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

    Je Ulishawai mueleza kuhusu changamoto yako ya mahusiano.Kama ulimweleza basi atakuwa anaitumia kukuumiza
  8. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nakumbuka nimefauri kwenda form One,enzi izo tnavaa makaptura polyester gly,basi mzee akanipa pesa nikanunue kitambaa kariakoo ni duka Moja nyuma ya sok kuu karibu na tafifu aina ya vitambaa Ivo vilikiwa vinapatikana.Tukaenda tulikuwa wanafunzi kama watano wote tulifauru kutoka shule...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Nilipata mafanikio alafu yakaondoka yoote baada ya mifarakano
  10. G

    JamiiForums Tanzania Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

    Naona hujacoment,nimepiga penyewe nn.Potezea mkuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Sijatukana soma neno Moja baada ya jingine
  12. G

    JamiiForums Tanzania Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

    Lakn pia inategemea na mambo ambayo amekumbana nayo maishani kwake,labda alishapata trauma kama kubakwa,kuua,waganga,kudhurumu,ugomvi na watu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

    Nashindwaga kuelewa yaani bindamu tunatofautiana sana,umeshajitafuta una pesa yako alafu eti Kuna vitu vinakunyima furaha.mie ukitaja nife ata kesho,funga riziki yangu baasii.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Kazi imekushinda,huna management skills.Bosi atakushusha cheo muda si mchache.Not every body is born to be a leader
Back
Top Bottom