Recent content by ginyisi

  1. ginyisi

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Mtaani kuna njaa sana, kopesha hela ndogo ndogo Kwa (dhamani) zingatia dhamana maana uaminifu ni mdgo, panga riba ya % unayohtaji wengine wanatoza mpaka asilimia 80% ila mimi natoza riba ya asilimia 50% Kwa mwezi! mtaji wa milioni 3, tu unatosha Kwa mwezi utakuwa unakusanya faida tu, 1.5...
  2. ginyisi

    GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Ko kweli ndo wako siriaz kiasi hicho kushindana upepo!?
  3. ginyisi

    Vyama pandikizi vyashindwa kumjibu Humphrey Polepole

    Kwann unataka tumwamini polepole moja kwa moja!? sidhani kama yupo kinyume na mamlaka...by the way tusubiri muda ni mwalimu sahihi
  4. ginyisi

    Ushauri: Lissu kwa muda wako wa kuishi uliobakia shirikiana na dola, sisi watanzania hatufai kupiganiwa kwa chochote

    Kabisaa, ni vyemaa akaamua tu kumtumikia mungu atoe na ushuhuda namna alivyookolewa kwenye lile shambulio, hakika inasikitisha! Watz hatuko tayari kusogea mbele, akitoka atoe speech yake ya mwisho kuaga siasa, awambia watz siku wakiwa tayr kubadilika wakutane barabarani, afu akae kimya, lakini...
  5. ginyisi

    Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Binafsi bado naendelea kufanya utafit,nijue tofauti kati ya ke moja na nyingine
  6. ginyisi

    Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Ukitaka kupata jibu kuhusu wanaume, muulize mungu au waulize wanyama vile wanavyoishi! jogoo 1,tetea 20,temba 10, na bado poa tu!
  7. ginyisi

    Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Iv nikuulize kitu wewe mdada, kwann hupendi kushea ni uchoyo,ubinafsi,au hofu ya kuachika,au kuogopa hela za mumeo kwenda kwa mtu mwingine! Nijibu vzr tu usinifokee!😂😂
  8. ginyisi

    Awamu ya 6 Imekomesha Matumizi ya Mkaa na Kuni Kwa Shule Za High School na Magereza Nchini Wanatumia Gesi,Umeme na Makaa ya Mawe

    Ulofa tu, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza unafosi mama mashaavu akubalike, ni kama unatwanga maji kwenye kinu! watz hawamwelewi! na huwezi kilibadilisha Hilo!
  9. ginyisi

    Faida za kuwa na leseni ya biashara

    Ishenzi tu ni mwendo wa chenga mpaka mwisho,
  10. ginyisi

    Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Gud luck gozbert narudishq sifa
  11. ginyisi

    Kumbukizi; Mwalimu Nyerere: Kambona ni msaliti, mwizi na malaya

    Una uhakika gani kama Nyerere alitamka maneno hayo Kwa kiswahili! au umesahau kwamba hyo ni aliyonukuu mwandishi wa gazeti!?
  12. ginyisi

    Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

    Sa mtu anakutapalije kiaje an! Em acheni fikra mgando ishu ya nguruwe ni faida kuliko ata ufugaji wa kuku! may be! so jamaa kaongea kitu apo! Ila inatakiwa uwe na mzigo kuhudumia wale viumbe wanakula sana! mimi mkuu Imani rubaba siji wasap ila wazo lako ni zuri sanaa! hongera Kwa kunikumbusha...
  13. ginyisi

    Kumbukizi; Mwalimu Nyerere: Kambona ni msaliti, mwizi na malaya

    Mbna ata yesu alitamka 'makahaba' ikiwa kutamka Malaya ndio kosa
Back
Top Bottom