umri wangu haukuhusuUna umri gani?
Ulianza kuwajua lini wanamtandao??
Kama ingekua uongo, hata mama angekanusha na msuto juu.hivi Polepole kila analosema ni ukweli? Credibility yake ya kupima ukwel wake umeipimaje?
Nimeuliza kila kitu sio kimoja kimoja kwan anamsemaga Samia peke ake?Kama ingekua uongo, hata mama angekanusha na msuto juu.
hivi Polepole kila analosema ni ukweli? Credibility yake ya kupima ukwel wake umeipimaje?
Ili tusimshitukie😅😅😅Halafu kweli, hivi Zitto hautaki uraisi wa Tanzania? kwani lengo na dhumuni la kuanzisha ACT ni nini mbona hajawahi gombea uraisi?
TumeshamshitukiaIli tusimshitukie😅😅😅
Chama chochote kinachohusishwa na Zitto si chama pinzani kwani Zitto ni kuwadi wa CCM kitambo, anapandikizwa ili kuharibu ama kuvunja upinzani huku akijiamini kulindwa na dola pamoja na uchawi wake na ndiyo maana muda wote yuko seious akiongea na majini na matunguli yake. Zitto pia ni adui mkubwa wa taifa hili, anachangia kutoleta maendeleo hapa nchini kui-support CCM. Nashauri akamatwe na vibaka pamoja na wananchi wenye uchungu na hili taifa ashughulikiwe kisawasawa!Kwenye press yake ya mwisho ile ya kushtukiza kavishutumu vyama viwili vya ACT Wazalendo na CHAUMMA kuwa ni vyama pandakizi vinavyofanya kazi ya CCM kwa manufaa ya CCM
Amehoji kuwa ni kichekesho kikubwa kwa mgombea wa ccm kuingia kwenye ushindani wa uchaguzi na vyama pandikizi huku mpinzani wake mkuu kamuweka mahabusu kwa kesi ya mchongo!
Ni kawaida kama ukishutumiwq jambo ukanushe kwa hoja na ithibati, Kukaa kimya ni kukosa hoja, kukosa jibu ama kuthibitisha tuhuma.
Jamaa wawili wa CHAUMMA, James na Yerico badala ya kujibu hiyo hoja wao wamebaki kuwabeza na kuwashambulia CHADEMA na viongozi wao.
Mpina kaamua kujikalia kimya maana hakutegemea kama litasanuka mapema
Vyama kazi maalum, Vyama pandikizi kaeni kwa kutulia mtumikie ujira wenu.. Kuleni haraka mshibe October sio mbali Mnatumika kama toilet paper.
Mtakapoanza kutoa milio .. Toeni kimyakimya maana hakuna atakayewaonea huruma... Jiulizeni Msigwa yuko wapi leo!
Ulichoandika hapa ndio kinachosemwa na Sana Kigoma.. Nilikuwa huko last week! Wanasema walimuamini sana alipokuwa CHADEMA kisha akawachuuza.. Wanasemq ni #team SSH 2030Chama chochote kinachohusishwa na Zitto si chama pinzani kwani Zitto ni kuwadi wa CCM kitambo, anapandikizwa ili kuharibu ama kuvunja upinzani huku akijiamini kulindwa na dola pamoja na uchawi wake na ndiyo maana muda wote yuko seious akiongea na majini na matunguli yake. Zitto pia ni adui mkubwa wa taifa hili, anachangia kutoleta maendeleo hapa nchini kui-support CCM. Nashauri akamatwe na vibaka pamoja na wananchi wenye uchungu na hili taifa ashughulikiwe kisawasawa!
Kwenye press yake ya mwisho ile ya kushtukiza kavishutumu vyama viwili vya ACT Wazalendo na CHAUMMA kuwa ni vyama pandakizi vinavyofanya kazi ya CCM kwa manufaa ya CCM
Amehoji kuwa ni kichekesho kikubwa kwa mgombea wa ccm kuingia kwenye ushindani wa uchaguzi na vyama pandikizi huku mpinzani wake mkuu kamuweka mahabusu kwa kesi ya mchongo!
Ni kawaida kama ukishutumiwq jambo ukanushe kwa hoja na ithibati, Kukaa kimya ni kukosa hoja, kukosa jibu ama kuthibitisha tuhuma.
Jamaa wawili wa CHAUMMA, James na Yerico badala ya kujibu hiyo hoja wao wamebaki kuwabeza na kuwashambulia CHADEMA na viongozi wao.
Mpina kaamua kujikalia kimya maana hakutegemea kama litasanuka mapema
Vyama kazi maalum, Vyama pandikizi kaeni kwa kutulia mtumikie ujira wenu.. Kuleni haraka mshibe October sio mbali Mnatumika kama toilet paper.
Mtakapoanza kutoa milio .. Toeni kimyakimya maana hakuna atakayewaonea huruma... Jiulizeni Msigwa yuko wapi leo!
Ahhaha ila kataka mwenyeweTumuombee sana

Zitto hafai kabisa, ni adui wa taifa.Ulichoandika hapa ndio kinachosemwa na Sana Kigoma.. Nilikuwa huko last week! Wanasema walimuamini sana alipokuwa CHADEMA kisha akawachuuza.. Wanasemq ni #team SSH 2030