Recent content by ginnery

  1. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna shindano lolote labda linaloendelea la wanawake wa mijini kufuga nywele sehemu za siri kwa fujo?

    Mm mwanamke wa hivyo naona ni uchafu mtupu
  2. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bae niongezee hela ninunue S9+

    Wanawake wa aina hiyo wapo mm nilishaishi na mmoja kwa tamaa zake akacheat nikamuacha ssa hiv yupo yupo tu hana analiwa ovyo ovyo mwanamke asipokuwa na akili nywele za kichogoni zitaisha kwa kulalwa ovyo!
  3. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    Mimi nipo pamoja na wwe mkuu yalishanikuta hao wanaopinga jua bado hayajawakuta umuachie ili waje walalaje katika kitanda ulichonunua wwe dawa ya moto ni moto amnunulie ssa huyo anayemuona wa maana.
  4. ginnery

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

    Haaaaaaaa wwe jamaaa
  5. ginnery

    JamiiForums Tanzania Kocha Lwandamina ' mjanja ' sana ameshaziona 9 - 0 zinakuja kaamua kusepa na kijiji mapema!

    Hoja dhaifu mpira hauchezwi midomoni wwe mgoloko!
  6. ginnery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

    Sijawahi sikia popote huyu jamaa ni dr ndio kwanza nasikia kwako leo japo ni mbunge wa jimbo letu na mara kwa mara namuona
  7. ginnery

    JamiiForums Tanzania Hatari Moshi! Night Club ya Black Diamond watoto wa miaka 13-16 wanajiuza ndani!

    Mnaounga hili mkono kuwa waachwe sio wazima au utoto unawasumbua mngekuwa mna watoto msingeshabikia upuuz huu au mnafikiria kwa kutumia makalio wote
  8. ginnery

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki wa Congo(DRC) na vituko na mikasa yao. Akina Defao, Madilu,Franco Luambo

    Hata mm nazielewa sana ila la kuliwa ndio uwa lanitia simanzi mleta uzi amepita mulemule kuhusu huyu jamaa story hizo zipo kitambo sana
  9. ginnery

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV siipati kwenye kingamuzi changu

    Update kingamuz chako
  10. ginnery

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi serikalini, LAPF watanipa fao langu la kujitoa?

    Kisheria unalipwa maana ukifikisha miaka 15 kazini unalipwa mafao yako yote muhimu upewe barua na mwajiri wako ndio utajaza fomu lapf na kuombea mafao yako bila barua andika maumivu
  11. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje mwanamke ukishapata mwanaume unajigeuza yatima!??

    Ukweli mchungu
  12. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Ushauri wangu nenda kaongee na afisa elimu mueleze tatizo lililopo na omba akuhamishe kituo cha kazi ili uwe mbali nae piga moyo konde hata ssi tumeyapitia inauma sana huyo dada muachie kila kitu kuepusha kelele wwe nenda kaanze maisha upya huyo mwanamke akupendi yupo anaempenda kwa dhati kuwa...
  13. ginnery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Haya matatizo yapo mdogo wangu pole sana
  14. ginnery

    JamiiForums Tanzania Kigogo akisimamishwa kazi huendelea kukaa nyumba ya Serikali na kupata stahiki zingine zote?

    Anakosa posho ya madaraka, semina na uhuru wa kusafiri nje ya eneo la kazi hadi kibali maalum
  15. ginnery

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu mwenye stashahada kumuongoza mtu wenye shahada akiwa kama bosi wake?

    Kubali hilo humu ofisin kwa taarifa yako kinachoma ni uzoefu wa kaz sio elimu unadhan mtu ana miaka 20 kazin na ana diploma wwe unaajiliwa leo una degree utamwambia nn? mambo mengi sn anayajua kuliko wwe na ndie atakufundisha wwe kazi
Back
Top Bottom