Recent content by Gini

  1. Gini

    Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Internet ya Starlink yaanza kutumika Kenya, Nape ” Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka Ofisi za Starlink nchini”. https://habarizote.co.tz/2023/07/18/internet-ya-starlink-kupatikana-kenya-nape-elon-musk-hakuwa-na-mpango-wa-kuweka-ofisi-za-starlink-nchini-2/
  2. Gini

    Kifaa gani kinatumika kurusha matangazo mubashara?

    Nnaomba kujua ni zipi kaka, nakufuata PM
  3. Gini

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Vipi ilizima au?[emoji23][emoji23]
  4. Gini

    Kifaa gani kinatumika kurusha matangazo mubashara?

    Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
  5. Gini

    Mikutano ya hadhara na Maandamano ni haki ya msingi ya Vyama Vya siasa kwa mujibu wa Sheria

    MIKUTANO YA HADHARA Na George Sylvester Wambura, Mikutano ya hadhara na Maandamano ni haki ya msingi ya Vyama Vya siasa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa sura ya 258. Ukisoma kwenye haki za vyama vya siasa utaona haki zilizoainishwa katika Sheria hiyo ni pamoja na, 1. (e) Kila Chama cha...
  6. Gini

    Tujuzane njia ya kupokea pesa kwa Paypal Tanzania

    Naomba kuuliza, hiyo line 6a Safaricom ukishajiunga, ukiwa Tanzania itasoma? Na kama utajiunta na Mpesa ya Kenya, tuseme umejiunga kwa App yao, ukiwa Tanzania inakuwaje kwa line kuwa nje ya simu?
  7. Gini

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Follow mikekahuru twitter, chambua timu zako, weka dau lako
  8. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hayo hapo Mkuu @nyakorere Majina 6a Ilala, Dar Es Salaam
  9. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    https://acrobat.adobe.com/link/track?uri=urn:aaid:scds:US:dd177e7f-7b20-3af7-ba11-b5bb92661bca
  10. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Umenifanya niende Kata yangu, nimekuta majina watu wanne, wapo kwenye Karani na qapo Maudhui. Mbaya zaidi majina ya Karani ni mawili na hawajawwka namba za simu, majina hayo hayo yametokea kwenye Maudhui ila yamewekwa matatu na namba za simu. Hii sio sawa
  11. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Chini pia kuna Ramadhan Issa Batuti katokea mara 2
  12. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    NAWAACHA RASMI, Ilala Kata ya Pugu walichofanya Mungu anajua. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  13. Gini

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nami nasubiri Ilala Kata ya Pugu, nadhani nisipotoka naaga hapa
Back
Top Bottom