Recent content by Gimbi

  1. G

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Ben your article has been a good lesson to me,u hv strengthen me coz i lost in G/E bt with the faith of late Mawazo and fellow revolutionarists lets walk their vision together for the best of tmr Aluta Continua!
  2. G

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    I second u Sir!kuna watu hapa uelewa ni mdg wa haya mambo wanaendeshwa na mihemko ukisoma post zao waombee tu.
  3. G

    Baada ya Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere anayefuatia kwa uongozi bora ni Rais Magufuli

    Unachekesha sana mkuu yani huyu Magufuli=Nyerere mbona fahamu zinawatoka kweupe!!!
  4. G

    Mkutano Mkubwa wa Hadhara CHADEMA-PUGU

    Peoples......?Power!leo tar 7/9/14 Kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Kata ya Pugu utakaofanyika eneo la Pugu Kajiungeni kuanzia saa 8 mchana na utahutubiwa na viongoz wa Kitaifa hivyo ukiwa mwanachama,mpenzi,mkereketwa ama mwananchi mpenda Demokrasia ya Ukweli na Mabadiliko unaalikwa njoo...
  5. G

    RAIS KAONGEZA WAJUMBE 35 wajumbe wa KATIBA, Je nani atawalipa???

    Ndg mleta mada,kusikiliza ni jambo 1 na kuelewa ulichosikiliza ni jambo jingine.Nadhani iko shida kati ya hayo!
  6. G

    Ushoga Makongo Sekondari

    tuwaelimisheni tusichoke
  7. G

    Inakatisha tamaa

    Mpende!hautaona haja ya kumfanyia mabaya.kumbuka hakuna bingwa wa kupenda sote tunajifunza hvy usichoke kujifunza&kuvumilia unapokosea ama jitihada zako zisipotambuliwa.
  8. G

    mwanamke anapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza

    ni hayo tu?mbona upande 1 bado?
  9. G

    Nafasi za kujiunga na jeshi,jwtz

    professional tusubiri ila nxt wk march4 jkt wanaingia.
Back
Top Bottom