Kama ni kusudi la Mungu kunikutanisha na wewe tutakua mke na mume siku moja. Kwa ufupi mimi ni mwanaume wa miaka 35, nimeokoka na nampenda Yesu. Nimekulia kwenye familia ya Waliokoka na baba yangu ni Mchungaji. Nina Elimu ya juu , naishi Arusha na nimeajiriwa huku Arusha. Kwa ufupi naomba uni Pm...