Viwanja vinapatikana kwa bei nafuu kwa ukubwa wowote unaotaka. Vipo eneo la maji ya chai, kilometa nne toka usa river Arusha. Kuna maji ya bomba na umeme. Mita 500 toka barabara ya lami. Bei kuanzia milioni tano. Wahi mapema kabla havijaisha kwani kasi ya kununua ni kubwa. Kwa mawasiliano piga no 0769841070.