Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Uo ukristu kabla haujaletwa kwenye bara lako ulikuwa unajua babu zako wakiona vip?
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Nahisi nina sifa kama hizo, karibu PM tutambuane zaidi.
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Bado hujampata?
 
Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.

True..., ingekuwa hivyo basi kuchagua mke ingekuwa jambo rahisi sana
 
Nashukuru Mungu kukutana na wewe. Mi pia nimeshapost kuhusu kutafuta mchumba. Naomba uni Pm ili tuangalie ni kwa namna gani tunaweza kuanza safari ya kuelekea kwenye ndoa.
 
ni pm nataka oa nina biashara zang sema cjafika huo umri uliopendekez, ukikubal kwa vile mm mdogo kwako plzz chonde chonde yacje nikuta ya nuhu na shilole naomba ucnitwange ata kdogo i love yu
 
Kila shetani na mmbuyu wake utampata wa kwako usijali
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Aloooo... kama bado haujapata niko hapa.

Mimi nna hizo requirements zote ulizoorodhesha hapo na vingine vya ziada.


Alooo niko serious naomba tuwasiliane
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni

KUNA MWANA HAPA KITAA ANA VIGEZO VYOTE MKUU,
ILA UNGEWEKA PICHA INGESAIDIA SANA.
 
Nipo tayari nomba ni PM nikupe detail zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom