Wakuu habari zenu?
Naomba kujua endapo kuna mtu huwa anafanya malipo yake kwenye POS machines kwa kutumia simu ambayo tayari ina support matumizi ya NFC(Near Field Communication) Technology.
Kwa sasa banks nyingi Tanzania zinatoa cards zenye uwezo huo lakini sina hakika kama mifumo yao...
Siku hizi unatakiwa uwe na uwezo wa kumtunza pia. Hata kama unapiga show kali, endapo huwezi kumhudumia hata kwa vidogo tu basi hapo Mwanaume unakua hauna maana. Ingawa wachache wana bahati ya kugandwa hata kama hawa provide chochote. Haha
Kinachokuuma ni huduma ulizotoa hasa hasa vitu ulivyomnunulia ambavyo anaendelea kuvitumia kwa uhuru. Ndiyo maana wengine (wenye roho ndogo) hunyang'anya kila kinachowezekana anapoamua kuachana na mwanamke ili kusiwe na chochote atakachofkiria kwamba alimfanyia mwanamke huyo na bado anaendelea...
Habari wakuu!
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata.
Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.