Recent content by gilbertovyaku

  1. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Wahaya, Wachaga na Wakurya tu?

    Shida lafudhi yao ni unique ukilinganisha na makabila mengine Sent using Jamii Forums mobile app
  2. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali imeamua kabisa watu wafe kisa Miradi?

    Kuna kitu hakipo sawa hapa haiwezekani watu wakajiajiri woote au kuajiriwa wote lazima kuwe na mazingira ya kujiajiri na fursa za ajira i think mtoa mada is right
  3. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu yuko vizuri kiufundishaji

    Nichek kwa geography nipo
  4. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Genk wachezea

    Kipigo walichochapwa Genk kama simba kwa fc Vita but hongera samatta kwa kutupia la kufutia machozi
  5. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Interview ardhi university

    Inakela kama ujui kitu kausha vunga
  6. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Bila connection hupati mchongo mjini.
  7. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Gas vs Mchina jiko la mafuta

    Gas iko vizuri unapika haraka na haichafui vyombo mchina weee
  8. gilbertovyaku

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

    Country hotel
Back
Top Bottom