The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,144
- 8,027
Wakuu, naulizia kama zile kazi walizotangaza ardhi university( academicians ) mwezi uliopita; wameita watu kwenye interview?
duh nadhani badoWakuu, naulizia kama zile kazi walizotangaza ardhi university( academicians ) mwezi uliopita; wameita watu kwenye interview?
Wakuu, naulizia kama zile kazi walizotangaza ardhi university( academicians ) mwezi uliopita; wameita watu kwenye interview?
Aisee basi tusubiri tu.duh nadhani bado
3 za TA na moja ya research assistantZilitoka nafasi ngpi
Mbon kma malisha fany iyo3 za TA na moja ya research assistant
Nawazaga tu hivi we jamaa unamalengo gani kujibu hivi kila uzi unaohusu interview?Wenzako wapo kazini washaanza kula na mshahara.
Inaonekana tapeliNawazaga tu hivi we jamaa unamalengo gani kujibu hivi kila uzi unaohusu interview?
Wenzako wapo kazini washaanza kula na mshahara.
Ok asante kwa taarifa mkuuWalishafanya Interview tayari
Mwezi wa saba mwishoni