Recent content by Gilbert005

  1. G

    DMO Iramba aikashifu serikali ya Magufuli mbele ya Jafo

    Huyu DMO kasema ukweli tupu na anafaa kuwa kiongozi ssa kama ulitaka apambe maneno ili mwanaharamu apite basi hutufai na huo uoga wako na ukome kwa unafiki!
  2. G

    Mbunge wa Bukoba Mjini ahojiwa na Polisi kwa kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko

    Jamani wa TZ sikui vichwani mwetu imetiwa makamasi tupu na hatuna akili hata kdg,kwani mtu anapotoa msaada kwa mwenye shida ni kosa amakweli tumelala kimawazo jamani,mweee!
  3. G

    Nguvu kubwa inayotumika 'kumsafisha' huyu mzee inanitia shaka!

    Watskutumbua jifanye mjuaji wakati sasa hivi ndo chama imeshika hatamu,waulize akina marehemu Kambona,Mohamed Babu na Bibi Titi walionja joto la jiwe kipindi hicho kwahiyo kama hujui historia ya nchi hii ni vema ukakaa kimya tu!
  4. G

    Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?

    Kaka hata mimi nashukuru kupata hizi habari za familia yake Mwalimu
  5. G

    Waziri Kairuki mwenye dhamana ya Ajira, kuongea Saa 6 leo

    Hakuna jipya serikali haina na ndo maana wanatumia kisingizia cha watumishi hewa!
  6. G

    Serikali yaondoa zuio la kusafirisha mchanga wa dhahabu nje ya nchi

    Kwani nani anaweza kuongoza au kubakia madarakani bila wawekezaji na wafadhili jpm amejirudi tu!
  7. G

    Ajira mpya za ualimu 2016/17 mpaka lini?

    Serikali hawana fedhali ya kuajiri fedha wamepeleka kwenye madawati na ndo maana hata watumishi wake wamenyimwa hata haki ya kupanda daraja,tutaisoma namba!
  8. G

    Serikali yaibwaga CHADEMA katazo la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa

    Acheni kuwa mambumbumbi wa kudadisi mambo jamani,kilichofanywa hapo ni mkono wa serikali kuchukua nafasi yake!,wamemchagua wambali then wakampa masharti ya kufanya maamuzi na hii tabia ya dola kuingilia mahakama ni mbaya sn tusipoangalia itatumaliza!
  9. G

    Walimu watakiwa kuhudhuria sherehe za Mwenge, kuchukuliwa hatua wakikiuka

    Hivi walimu ndio punda wa kubebeshwa mzg,jamani waigeni wenzenu wa Kenya juzi tu Kenyatta kainua mkono na kuwapa stahiki zao ssa huku kwetu ni uoga na usaliti!
  10. G

    Mkopo kutoka mfuko wa maendeleo ya vijana

    Kwani wwe upo mkoa gani broo,kuhusu utaratibu wa mkopo wa (YDF) youth dev,fund ni kama ifuatavyo: kwz lazimu muunde kikundi cha watu 5 na kuendelea,lazima muisajili kwa msajili wa community based organ,lazima muwe na katiba ya kikundi, uongozi wa kikundi ie m/kiti,katibu, mhasibu na...
  11. G

    Dr. Kigwangala: Sikusoma High School na Ndg. Juma Mwaka, tuhuma zinazosambazwa mitandaoni ni uzushi

    Daktari Fanya kazi yako wala usimuogope mtu yeyote hao akina mwaka wako wengi nchi hii wafuatilie wote maana nchi hii ilishakuwa shamba LA bibi ambapo kila mtu anakuja na utaratibu zake anachuma ndivyo sivyo then anaondoka na mulikeni hata kwenye madhehebu za kidini nao kuna dini za ajabu tu.
  12. G

    Makonda aahidi kuifanya Dar iwe kama Dubai

    Mkubwa hiyo ni ndoto za mchana labda uanze kukamata vibaka wote uwafunge ukonga na keko kwz,!
  13. G

    Ombi: Ukaguzi wa vyeti ufike majeshi yote haraka

    Majeshi yote yatasambaratika bora huko mpotezee msiende!
  14. G

    RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    Afande hapa unatuadaa,wwe huna mamlaka kumfungia Tundu lisu asifanye mawasiliano popote pale alafu nyie mnaelewaje maana ya uchochezi mbona mnashindwa kuitafsiri!
  15. G

    ITV nina mashaka na ninyi... Hamna habari ya Lissu?

    No Mengi hana tatizo isipokuwa waandishi wake ndio waoga sn,tunahitaji kuwa na waandishi wa habari wajasiri!
Back
Top Bottom