Mkopo kutoka mfuko wa maendeleo ya vijana

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
764
1,283
Naomba kwa anayejua utaratibu wa kupata mkopo kupitia kwa mfuko wa maendeleo ya vijana wa wilaya atupe ufafanuzi. Pia kwa wale ambao wako tayari kujiunga kwenye kikundi cha vijana wajasiriamali aweke namba yake hapa nimuunge kwenye group la watsapp.
Tunakaribisha michango na mawazo ya wadau mbali mbali ili tuweze kujikwamua, ahsante.
 
Kwani wwe upo mkoa gani broo,kuhusu utaratibu wa mkopo wa (YDF) youth dev,fund ni kama ifuatavyo: kwz lazimu muunde kikundi cha watu 5 na kuendelea,lazima muisajili kwa msajili wa community based organ,lazima muwe na katiba ya kikundi, uongozi wa kikundi ie m/kiti,katibu, mhasibu na wajumbe,lazima ufungue akaunti benki,lazima,uandike andiko mradi au project proposal LA mwisho mkopo sio pesa nyingi Mara nyingi ni tsh.milioni tatu kurudi chini ssa usije ukademand pesa nyingi,mfuko huu inatoa MIKOPO kwa wajasiriamali wadogo kama vile mamalishe,boda boda,wakulima wa mboga mboga nk.
 
NIMEIPENDA IYO IFIKIE HATUA TUWE TUNAJARIBU VITU SIO KILA KITU SIASA SAFI SANA MLETA UFAFANUZI ONGERA MUNGU AKUJALIE KATIKA HILO
 
Kwani wwe upo mkoa gani broo,kuhusu utaratibu wa mkopo wa (YDF) youth dev,fund ni kama ifuatavyo: kwz lazimu muunde kikundi cha watu 5 na kuendelea,lazima muisajili kwa msajili wa community based organ,lazima muwe na katiba ya kikundi, uongozi wa kikundi ie m/kiti,katibu, mhasibu na wajumbe,lazima ufungue akaunti benki,lazima,uandike andiko mradi au project proposal LA mwisho mkopo sio pesa nyingi Mara nyingi ni tsh.milioni tatu kurudi chini ssa usije ukademand pesa nyingi,mfuko huu inatoa MIKOPO kwa wajasiriamali wadogo kama vile mamalishe,boda boda,wakulima wa mboga mboga nk.
Msajir Wa community based organ no yup? Sorry kaka
 
Back
Top Bottom