Recent content by gikea

  1. gikea

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League: Yanga SC 0 Vs 1 Azam FC

    Nugaz anakwambia yanga ya sasa ikiwa inacheza ,unaagiza kinywaji baridiii kufurahiaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. gikea

    JamiiForums Tanzania Mwenye usafiri binafsi kwenda Morogoro

    Kama ambavyo tunafahamu adha ya USAFIRI kipindi hichi cha sikukuu . Naomba mwenye USAFIRI binafsi kesho KWENDA kutoka Dar es salaam kwenda morogoro ,anipe lifti nipo na wife ,nitachangia hela ya mafuta kama nauli YANGU. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gikea

    JamiiForums Tanzania GOSPEL: Star ajaye Evelyne Gideon

    Nimesikiliza na kuangalia kazi yake youtube hakika amefanya kitu kikubwa hasa ujumbe wake,sauti nzuri na mpangilio mzuri wa vyombo (hongera kwa producer) Video kafanya kwetu studios na msafiri nadhani, kwa wimbo wa kwanza kuanza hivi ni hatua sana na umeupa umeongeza thamani na "challenge"...
  4. gikea

    JamiiForums Tanzania Je umevunjika sehemu yoyote ya mwili ? Usipotezemuda na piopio ..unganisha kwa dakika 15

    Mkuu unapatikana Wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. gikea

    JamiiForums Tanzania MSAADA:Kidonda cha operation kutopona.

    Kama mbili hivi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. gikea

    JamiiForums Tanzania MSAADA:Kidonda cha operation kutopona.

    Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. gikea

    JamiiForums Tanzania MSAADA:Kidonda cha operation kutopona.

    Nilipata ajali nikavunjika mguu,niliwekewa chuma mguuni ,wakati wa kutolewa nyuzi sehemu ya goti palifumuka pakawa kama kidonda ,nikaambiwa patafunga ,lakini nimeuguza muda sasa karibu mwaka na miezi kadhaa. Kila nikirudi hospitali napewa dawa za kusafisha na kupaka lakini tatizo bado liko...
  8. gikea

    JamiiForums Tanzania Tochi za barabarani sasa faini 200,000. Tanroads wasema faini hiyo ni halali ipo kisheria

    Nazani sasa bombadia zitapata abiria.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. gikea

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba SC, MO kupewa timu leo

    Safi sana, kwanza hao wanachama wote ni wajanja wajanja wa dar.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. gikea

    JamiiForums Tanzania Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

    [emoji13] [emoji13] [emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. gikea

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Asante mkuu ngoja nifanye hivyo
  12. gikea

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Msaada tafadhali
  13. gikea

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Wakuu simu Yangu tecno c5 nikitaka kupakua app. Yoyote inaniambia haina nafasi ya kutosha ilihali external memory ni kubwa na ina nafasi pia ndio nimeiset kuhifadhi vitu
  14. gikea

    JamiiForums Tanzania NIMEOA MKE MZURI KULIKO WA GODBLESS LEMA

    Uzuri na ubaya ni upumbavu wa macho yako..usitumie watu kupima..
Back
Top Bottom