Je umevunjika sehemu yoyote ya mwili ? Usipotezemuda na piopio ..unganisha kwa dakika 15


mshumbusi

mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Messages
457
Points
250
Age
33
mshumbusi

mshumbusi

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2011
457 250
HABARI WOTE
kama kichwa cha habari kinavyo sema
kama umevunjika au ndugu ya ko amevunjika tumia dk15 kumponesha kumponesha sehemu yoyoteile ya mifupa ilio vunjika

tunatumia mitishamba kuunganisha mifupa hakuna haya yakuweka piopio au kukatwa mguu kwa kuvunjika
rudia hali yako ya zamani

wasiliana nami kwa
mp kwa maelezo zaidi
 
C

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
791
Points
500
C

Chabo

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
791 500
Dakika kumi na tano!!!!!....ok mm itabidi nije unipe kinga ya kutokuvunjika.
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
629
Points
1,000
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
629 1,000
Mkuu mm ntakuja mp
 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,724
Points
2,000
Vin Diesel

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
8,724 2,000
HABARI WOTE
kama kichwa cha habari kinavyo sema
kama umevunjika au ndugu ya ko amevunjika tumia dk15 kumponesha kumponesha sehemu yoyoteile ya mifupa ilio vunjika

tunatumia mitishamba kuunganisha mifupa hakuna haya yakuweka piopio au kukatwa mguu kwa kuvunjika
rudia hali yako ya zamani

wasiliana nami kwa
mp kwa maelezo zaidi

Tumekusoma mkuu piopio
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,273
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,273 2,000
Hii ni habari njema kwa sie madereva wa bodaboda
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
5,050
Points
2,000
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
5,050 2,000
Dakika 15 mzee! Hiyo dawa si inaweza kuunganisha hata barabara zilizokatika mawasiliano kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,258
Members 494,502
Posts 30,855,772
Top