Tatizo sio potential iliyopo pwani shida inakuja jinsi ya kuzitumia fursa mlizo nazo mfano watu wa pwani ni wavivu kupitiliza. Pia ukienda nchi nyingi Duniani maeneo yaliyopakana na bahari huwa yana potential kubwa mfano New York,London Cape town, LA .... nk
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa watu wanabishana nini wakati TAKWIMU zipo wazi kabisa. yaani mtu anatumia nguvu kubwa kujieleza kwa hisia badala ya kutumia facts na zinapatikana kwa urahisi kabisa 🤣🤣🙌🙌🙌🙌.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.