Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,835
Google hakuna hiti taarifa
Google hakuna hiti taarifa
Yeye hoja yake hapa ni kwamba haya yote yapo Pwani; sasa issue ya kwamba yanalifaidisha Taifa ama la, hilo sasa ni swala jingine, usimuulize yeye kwa sababu hahusiki na hiloSasa hayo yote mbona hatuoni faida yake kama nchi zaidi ya kutegemea dhahabu na almasi za kanda ya ziwa ili kuendesha uchumi wa hii nchi.
Tafuta humuhumu jf,ukipata Uzi wa lukuvi kuolewa na muislam,utapata hiyo taarifaGoogle hakuna hiti taarifa
Huenda umeumia,Ila ndiyo hivyo..na mtoto wa lukuvi pia,kaolewa na mzenjiHao wasio wa pwani mbona hawajajenga kwao!!?..ramadhani dau ni mnyakyusa!?
"Tutake radhi watu wa ukanda huu,wewe msukuma vipi bhana wewe jaje..Sasa hayo yote mbona hatuoni faida yake kama nchi zaidi ya kutegemea dhahabu na almasi za kanda ya ziwa ili kuendesha uchumi wa hii nchi.
Na pwani imejengwa na watu wa nje ya pwani hakuna mtu wa pwani mwenye uwezo wa kusimamisha hata gorofa chanika.
Kingine ukiondoa bandari pwani haina la maana..kama korosho nenda manyoni sasahivi zinapatikana za kutosha.
Watu wapwani project wananzozijua ni kukata viuno na kucheza bao na kunywa kahawa na kuvaa misuli..
#MaendeleoHayanaChama
Pwani kumbe wavivu..?Tatizo sio potential iliyopo pwani shida inakuja jinsi ya kuzitumia fursa mlizo nazo mfano watu wa pwani ni wavivu kupitiliza. Pia ukienda nchi nyingi Duniani maeneo yaliyopakana na bahari huwa yana potential kubwa mfano New York,London Cape town, LA .... nk
Uko Japan? Sakana wo tabeteru no?Kwa sasa muamko wa Elimu unaridhisha..
Uko Japan? Sakana wo tabeteru no?