Recent content by GIDULAMAMBASI

  1. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa Dodoma kitengo cha ardhi wameshindwa kazi

    Mkurugenzi wa Manispaa kimeo, yaani papara nyingi, pirika nyingi kama mchwa anachokifanya hamna kitu. Pia Huyo Waziri wa Ardhi naye ni miongoni mwa mapapa waliojimegea viwanja katika maeneo mengi ya wazi hapa mjini. Kuna afisa ardhi mmoja hapo, yaani ukienda ofini kwake akuandikie bill ili...
  2. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Imakwenda kwa tittle gani aisee!
  3. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tofauti kubwa ya mishahara Serikalini kukoma

    Kuna taasisi nyingi za umma zipo zipo tu. Hakuna la maana na mishahara wanalipana. Sijui hata kipimo Chao cha utendaji kazi kikoje???
  4. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

    Sasa kumbe mtu humfahamu ki-hivyo bado unaponda. Shida sana. Nakushauri acha kumfuatilia kwenye platform yake yyt ile, utakuwa salama otherwise atakuumiza sana roho.
  5. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania More deception & scam from Barrick gold & Acacia mining

    Samantha, thanks a lot.
  6. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Waiting Sent using Jamii Forums mobile app
  7. GIDULAMAMBASI

    JamiiForums Tanzania Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Kwa kigezo cha GPA sidhani, wasiwasi wangu ni kwenye ujaza wa application forms Je ulitimiza kila kilichotakiwa? Jingine usikate tamaa huenda kuna batches nyingine zinakuja. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom