Recent content by gideon kilyanga

  1. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Sawa sawa na 19 Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  2. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina upepo tumboni (gesi) hautaki kuondoka

    Lakini pia uende na kwenye maombi. Lisilo wezekana kwa binadamu kwa Mungu inawezekana
  3. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

    Upinzani hauwezi kuisha.kwani Yule kijana iliye jiua kwa kujichoma kwa moto pale kulikuwa na chama cha Upinzani.Upinzani uko moyoni ikigoma njia ya vyama Mungu ataleta njia nyingine ya ukombozi
  4. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mzee Mwinyi kwa CHADEMA imetimia

    Kususia uchaguzi si kuwa ccm b.badala yake ni kuuonyesha umma na dunia nzima jinsi siasa ya tz ilivyo
  5. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa madiwani

    tupe nyepesi
  6. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uchumi mzuri ni pamoja na kuwa hela ngumu kuipata; kizuri hakipatikani hovyo hovyo

    mhmmuuuuuu hizi tafsiri za uchumi?
  7. gideon kilyanga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatumbua Wakurugenzi walioshindwa kujibu maswali kwenye Mkutano Mjini Bukoba

    ile aliyo sema amewasamee ilikuwa si kweli?maana alisema kwa leo atawasamee wakati mwingine hatawasamee
  8. gideon kilyanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

    Mungu aliumba mme na mke tu
  9. gideon kilyanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

    Dada yangu mimi nakupa pole Sana haujui unasema nini
  10. gideon kilyanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

    tatizo si kuwa umeruhusiwa kuoa wangapi tatizo ni moyo.hata walio ruhusiwa kwa mujubu wa imani yao bado wana michepuko.nikupe pole sana kwa mtazamo usio sahihi
Back
Top Bottom