Recent content by Giddon

  1. Giddon

    JamiiForums Tanzania Sola kwa Sasa lipo ujerumani

    Na itakua SOLA KUBWA KABISA
  2. Giddon

    JamiiForums Tanzania Malaika wanaongozwa na kutawaliwa na Mungu pekee

    Kama anatamani kuongoza huko mbinguni...basi mjue hana mpango wa kuachia mamlaka hapa duniani...
  3. Giddon

    JamiiForums Tanzania Pikipiki boxer inauzwa 900,000/=

    Bila picha mkuu?
  4. Giddon

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ooh San chizi amekuja kubadili timu...ila fans wa man u ni afya kwa wengine mkifungwa ....mwaongea sanaaa
  5. Giddon

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Nimefurahi sana mama yangu kufariki, sijalia na sitaki mtu alie

    Daah ,suala la kifo sio habari njema ikiwa upande wako....hapa watz tunataka kumpangia mtu mpaka hisia za namna aweje akifiwa!!
  6. Giddon

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

    Zilipendwa..
  7. Giddon

    JamiiForums Tanzania Jamani whatsup imeondoka na 2017?

    Dah nikazani nimeishiwa mb Sa hizi!!!!
  8. Giddon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Muulize hua anapenda??...akisema yes ujue umeshatanguliwa mkuu
  9. Giddon

    JamiiForums Tanzania Mama Wema amlipua mwanaye, adai Steve Nyerere ni bomu

    Hii ni movie kama ya tu mbili na mkewe ..maslahi kote kote!!
  10. Giddon

    JamiiForums Tanzania English shidaa

    what born am i?
  11. Giddon

    JamiiForums Tanzania Afya Bahati Bukuku yazidi Kuimarika na wala hajavunjika mgongo

    amen...naweza pata namba za management ya gospel kutaa nipo arusha.
  12. Giddon

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    ulipo wewe umeshaliwa mara ngapi???....angalia channel 10 leo saa 2 usiku halafu urudi hapa na akili zako za kupewa... kama upo dar jumapili hii tar3 atakua hapo kawe viwanja vya tanganyika parkers..
  13. Giddon

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    Wakuu hivi ukuiwa mtumishi wa Mungu unatakiwa kua masikinii!???? kama ndivyo basi biblia haina maana kutuambia Mungu aliwabarik kina suleiman,Yusuph n.k
  14. Giddon

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    Wewe umejaribu kuacha dhambi umeweza???? acha akili za ngiri!!!!
Back
Top Bottom