sometimes hizi maada ni kipuuzi kweli! Kujisifu kwa mtu kunakusaidia nn? Mwakyembe anakubalika na ni mchapa kazi. Kasoro zipo kwa kila mtu ila usiyasahau mema anazotenda. Nashauri si kila jambo lijadiliwe humu, ni vyema utupe threats zenye changamoto. Epuka kuleta mawazo yanayo funga mawazo ya watu
this link is great thinkers na wala si ya watu wenye uelewa mdogo kiasi hicho. Kila mtu ana mapungufu yake lkn pinda hapo hana kosa wala pungufu lolote. Kuongea kwa ishara haimaanishi kutokujua. Nakushauri we ulipost hii picha fahamu mambo mengi kuhusu ishara katka lugha. Usikurupuke na kushusha...
ni jabu wakti mwingine! Nchi za wenzetu wanapunguza mtawanyiko wa matumizi ya fedha za walipa kodi lakin sisi tunatapanya mapato! Serikali tatu si tu mzigo kwa raia bali ni pia kuruhusu mianya ya matumizi mabaya. Tume iliyokusanya rasimu ya katiba haijawafikia watu wote. Kwa maoni yangu tuwe na...
tusiyaone mabaya tu mazuri tuyakubali. Jk kuna mambo kayafanya kiukweli ila mengine bado. La kufahamu ni kuwa, huwezi kutimiza haja ya kila mtu nchini. Kumridhisha kila mtanzania kwa itikadi yako,uchumi wake n.k haiwezekani. Udhaifu upo lakani tutaje na strength zake.
zanzibar padogo sana kuitengeneza nchi yao na wabara hawakutambua wazenji wanataka nn. Bila kificho wanataka nchi yao. Mtazmo wa tusiwalazimishe saana kuwa kama sisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.