Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,294
Waziri Wa uchukuzi Mwakyembe amejusifu kuwa hadi Leo usafirishaji Wa mizigo mizito nchini kwa kutumia barabara ni 90%,anajisifu!! Kuwa nchi itaendelea kuboresha huduma kwa watumia malori,badara ya kujisifu kwa kuimarisha reli yeye anajisifia kutumia barabara,Kweli tz hatuna viongozi