Marais watatu (3)!

Marais watatu (3)!

Elisha Ray

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
323
Reaction score
94
Wakuu, Naamini wote mko poa kabisa ukiachia mambo fulani ya hapa na pale katika maisha! Kuna kitu sielewi elewi hapa kuhusu hawa marais watatu waliopendekezwa kwenye rasimu ya katiba. Nazungumzia kwa upande wa hizi foleni za barabarani zisizokuwa na maana kabisa pale tunapowekwa kwa foleni muda wa masaa kadhaa eti kusubiri au kupisha rais au makamu wake apite. Sasa wakiwa hawa wawili achilia mbali watatu (maana mwingine atakuwa Zenji ingawa anaweza kabisa kuja 'shopping' huku Tanganyika) si itakuwa shida na tutazidi kupata hasara barabarani kuwasubiri wapite? Maana ni hasara kubwa kukaa kwenye foleni huku appointment zako i.e interviews za kazi, business meetings, etc zikipotelea barabarani eti kupisha hawa jamaa? Swali hili laweza kuwa kama la kizushi vile lakini it is serious because these things are happening...!
 
Rais Mkubwa atakaa DODOMA wa TANGANYIKA atakaa DARI SALAMA wa MDEBWEDO atakaa huko kwao!
 
Wakuu, Naamini wote mko poa kabisa ukiachia mambo fulani ya hapa na pale katika maisha! Kuna kitu sielewi elewi hapa kuhusu hawa marais watatu waliopendekezwa kwenye rasimu ya katiba. Nazungumzia kwa upande wa hizi foleni za barabarani zisizokuwa na maana kabisa pale tunapowekwa kwa foleni muda wa masaa kadhaa eti kusubiri au kupisha rais au makamu wake apite. Sasa wakiwa hawa wawili achilia mbali watatu (maana mwingine atakuwa Zenji ingawa anaweza kabisa kuja 'shopping' huku Tanganyika) si itakuwa shida na tutazidi kupata hasara barabarani kuwasubiri wapite? Maana ni hasara kubwa kukaa kwenye foleni huku appointment zako i.e interviews za kazi, business meetings, etc zikipotelea barabarani eti kupisha hawa jamaa? Swali hili laweza kuwa kama la kizushi vile lakini it is serious because these things are happening...!

mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?
 
Mtakoma hasa watakapokuwa wanapishana kwenda airport,marais 2,makamu 2,poleni
 
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?

Duh! What a confused soul u r! Kama ungekuwa 'great thinker' usingeandika upuuzi huo kutuonyesha how narrow minded and stupid u r and instead kama akili yako imekuonyesha haikufai ungepita tu bila ku-comment maana ndo great thinkers wanafanya au ungecomment kushauri kwa lugha nzuri tu na sio kama ulivofanya kuonyesha kuwa kumbe nyie kenge ndo mnaotuweka foleni wakati 'mamba tunapita!! Great thinkers hawatukani au kuwa na lugha chafu chafu namna hiyo au wewe Mwigulu nini?
 
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?

Usimwite mtanzania mwenzako kenge kisa katoa maoni yake kumbuka kila mtu Ana Haki ya kusema kile ambacho kinamkereketa .Binafsi naamini Lundo la Marais watatu ktk Nchi masikini inayotegemea pesa za wahisani kwenye bajeti yake sio njia sahihi ya kuharakisha maendeleo Bali ni kukaribisha Gharama kubwa kwa walipa kodi na kuzidisha foleni jijjini Dar huku muungano ukivunjika na zenji Kuwa nchi Jilani kwani serikari tatu lazima kutatokea mkanganyiko kwenye maamuzi ya kitaifa hususani mgao wa Mapato .
 
Tulia wanajenga fly over kwenye mataa ya Ubungo, TAZARA, Fire,, Magomeni, Mwenge na Morocco
 
Foleni ni janga la kitaifa na Kama kuna mtu haathiliki na foleni ktk jiji la Dar basi atakuwa hatembei au hatoki ndani anashinda amekaa na kulala kwake .hivyo viashiria vyovyote vya kuzidisha foleni jijini lazima waathilika wa foleni watalalamika tu Nadhani sasa ni wakati wa kuhamia Dodoma Nguvu kubwa ielekezwe kwenye kutekeleza ahadi za kuhamia Dodoma .
 
Usimwite mtanzania mwenzako kenge kisa katoa maoni yake kumbuka kila mtu Ana Haki ya kusema kile ambacho kinamkereketa .Binafsi naamini Lundo la Marais watatu ktk Nchi masikini inayotegemea pesa za wahisani kwenye bajeti yake sio njia sahihi ya kuharakisha maendeleo Bali ni kukaribisha Gharama kubwa kwa walipa kodi na kuzidisha foleni jijjini Dar huku muungano ukivunjika na zenji Kuwa nchi Jilani kwani serikari tatu lazima kutatokea mkanganyiko kwenye maamuzi ya kitaifa hususani mgao wa Mapato .

ni jabu wakti mwingine! Nchi za wenzetu wanapunguza mtawanyiko wa matumizi ya fedha za walipa kodi lakin sisi tunatapanya mapato! Serikali tatu si tu mzigo kwa raia bali ni pia kuruhusu mianya ya matumizi mabaya. Tume iliyokusanya rasimu ya katiba haijawafikia watu wote. Kwa maoni yangu tuwe na serikali na mikoa ya karibu iunganishwe na kuund serikali za majimbo na maseneta. Decentralization ni nzuri ila chain ya kiutendaji itasumbua. Tusifikiri tu follen ila matumizi ya serikali
 
mbona unaleta thread za kipuuzi, vitu kama hivi upeleke fb huwezi kuleta takataka kama hii hapa afu great thinkers wajadili hili. uwe mwisho kucheza na akili za watu wewe, kenge nini?

Sahihi mkuu vingine vinafaa fb siyo huku
 
Back
Top Bottom