Recent content by gidamulida

  1. gidamulida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu

  2. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Sabasaba vs Nane nane

    Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU). Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo mwaka 1992 baada ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi...vyama vya...
  3. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Bora kutolewa lijengwe la Magufuli
  4. gidamulida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

    Simple and clear
  5. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Alichoandika ni chuki na si utaalam. Mbona Wa visiwani eneo lao dogo na lina idadi kubwa ya watu. Kama huna uzazi tulia utalea watoto wa wenzio
  6. gidamulida

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

    Bado kidogo tu hii nchi tutaheshimiana
  7. gidamulida

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Afadhali ..kilichobaki ni msiba ....wamfuate kipenzi cha Watz
  8. gidamulida

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Msoga mnawakuza tu huenda ni team moja...mbona wanaidhulumu sana hii nchi
  9. gidamulida

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa Rais umeanza kuwa serious. Endelea hivyohivyo kuwanyoosha mpaka wajue kuwa Urais hauna ubia

    Wanyonge awape nafasi....hao mabepari hawana huruma..walimwambia anaupiga mwingi akadhani anafanya poa..kumbe menyewe ndio yanapiga mwingi.
  10. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

    Viongozi wa Simba walifail unampaje mkataba mrefu hivyo...mtu Bange tupu na kichwa kigumu hakifundishiki
  11. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Rais wa Mawe naye atenguliwe tu...
  12. gidamulida

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    For sure prof alikuwa ametulia Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  13. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    Bora tuendelee na JPM kwani CDM imebadili usajiri? KAZI ya kuomba mshahara kupanda awaachie TALGWU na CWT Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  14. gidamulida

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Ameamua kujipeleka kwa Mungu Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom