#COVID19 Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

Si ndiyo alitoa kejeli kuwa Mungu hawezi kuhangaika na Corona Yuko busy? Magufuli aliona hawezi bila Mungu akajisalimisha wakamcheka, Sasa hivi wanaangamia.

May the Almighty God serve Uganda and EAC.
 
I think bora angetangaza siku ya toba kwanza kwa kum under value Mungu kuwa anaweza kuwa busy asisikie maombi ya watanzania.
 
Huyu jamaa alijifanya anamjua sana Mungu, kwamba yuko bize na mambo muhimu, akadai Corona itaisha kwa Lockdown, sasa anajifanya kuoteshwa.
Waendelee kutuiga si tulishasahau mambo hayo
Sio kwamba anamjua mungu ... Anacho kifanya anakijua .. Wameshapiga hela za WHO na za nchi zenye huo mradi wa corona so now ndio anataka kulirejesha taifa lake ktk hali ya kawaida
 
Ugandan President Yoweri Museveni has declared Saturday a national day for prayer

The country recorded its highest single-day infections of 308 last Saturday following a dramatic rise in recent days of Covid-19 cases
On Thursday, the Ministry of Health reported 155 people had tested positive, minutes before

Mr Museveni announced a public holiday calling on Ugandans to pray "for God to deliver" the country from the pandemic.

On his official Twitter handle, Mr. Museveni said he arrived at the decision after an unnamed individual approached him with a vision from God with instructions that he organizes national prayers.

“A certain Ugandan came to me and told me that God had told him in a vision that I should organize national prayers, scientifically organized, for God to deliver us from Covid-19,” Mr. Museveni said.

“Therefore, by the powers given to the President of Uganda by Section 2(2) of the Public Holidays Act, I declare the 29th of August 2020, a day of National Prayers and a Public Holiday. Stay in your houses or compounds and pray,” he added.

Source The East Africa Thursday August 27,2020
 
Kiongozi wetu alipotea akaenda kwao kujifungia wapinzani walimbeza mno na hata mataifa mengine kuwa raisi wa nchi hawezi kuiacha ikulu muda mrefu ki hivyo hiyo ni kweli.Ila wanasahau kuwa kiongozi wa nchi popote alipo akiamua kuhutubia taifa anaweza.
Nabii Mussa alivokwenda kupewa amri kumi za mungu alipotea ghafla kwa muda mrefu mno akaenda mlimani alivorudi akakuta wananachi wake wamekata tamaa wameshatengeneza ndama wa dhahabu hii inafanana na kiongozi wetu aliona aende kwao akawasiliane na mungu wake na wakwetu ikumbukwe kule ndio kwa bababu zake.Kule hatujui alikwenda mlima gani au mapango gani au alifunga siku ngapi ndio akarudi dar sasa akatangaza siku za maombi kurudi akakuta baadhi ya watu wake wameshatengeneza ndama wa dhahabu ila aliwarudisha kwenye mstari hapa ndama wa dhahabu aliwakuta ni wale ambao walimpinga alivyopotea kwenda kwao kumbe alikwenda kufanya jambo la heri.
 
Back
Top Bottom