Recent content by gibasisi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Jana jioni nikapita jirani na mgodi wa North mara kulikuwa na kusanyiko kubwa sana la watu kwa mbali pia niliona polisi wengi juu ya mawe ya mzungu mara ghafla nikakutana na watu wawili mume na mke wakiwa ktk pikipiki huku wakilia wote kwa uchungu mkubwa..tukagundua na mwenzangu kuwa huenda...
  2. G

    JamiiForums Tanzania King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

    Kama ni cha dish nakupa majibu kitaalam ,kwamba azam wapo nyuzi 7 eutelsat7c na startimes wapo nyuzi 5 ses5 kwa hiyo dish linapokuwa limekaa muda mrefu kutokana na changamoto za upepo inetegemea dish lako lilifungwa na fundi au kishoka,dish likilegea lazima litainama kidogo na kuinama...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Solar Watts 100 ,battery Rita n100 nilitumia miaka 7 likafa,mwaka huu nimenunua Rita n100 naendelea kula maisha.situmii charger controller maana betri halijai
  4. G

    JamiiForums Tanzania Azam CamCard

    Camcad nilinunua 145000 wakati ule azam zikiuzwa bei juu sijui kama zimeshuka au la
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Baada ya mch. Kumchukua dem wangu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo imepotea. Naipataje?

    Nenda kakope nyingine maana wakopeshaji wamejaa mno
  7. G

    JamiiForums Tanzania Je africa sattelite inahusu chanel za bure kwene ving’amuzi?

    Pm nikupe elimu mkuu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Oraimo 27000 mah ni kiboko
  9. G

    JamiiForums Tanzania Je africa sattelite inahusu chanel za bure kwene ving’amuzi?

    Receiver zipo aina mbalimbali na bei tofauti,mfano juzi kati nimenunua mediastar 4030 pro kwa 300k,ni bonge la decoder.ingia Google utapata sifa zake hapa nitajaza ukurasa kuielezea.ninachokipata kwa dekoda hii hata hawa akina azam naona kama uchaf tu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Matumizi ya kawaida soar Watts 100 ,betri Rita au prosola n100 ,invator ya kusuka/kuchonga Watts 300 hapo utafurahia maisha ya sola
  11. G

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

    Huyu mshamba tu kama wengine unaidharau Dar kwa lipi sasa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Hivi bado kuna watu wananunua king'amuzi cha startimes,kweli tupo tofauti sana
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Line Ya Safaricom kwa ajili ya kutumia Paypal

    Nipigie 0786560100
  14. G

    JamiiForums Tanzania 'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

    Unauzaje size kama hii oraimo
Back
Top Bottom