Recent content by GIANTMIND

  1. GIANTMIND

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi mwenyewe nlishawahi kuwaza hivyo ...Kwamba kuwe hata na Kampuny Shindani ya Umeme sio TANESCO peke yao ...kwasababu hawana sifa ya kukidhi mahitaji ya kitaifa. Serikali itoe Fursa kwa Kampuni hata kama ni Binafsi ! Kunatakiwa kuwe na Ushindani wa kihuduma kwenye hii Secta . La sivyo Hawa...
  2. GIANTMIND

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO SHENZI KABISA .... SHIRIKA LIMEWASHINDA ...SHIRIKA LINA WASOMI HILI KWELI [emoji22]??
  3. GIANTMIND

    KERO Responded Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

    Au tunabishana na mhudumu (Mwendokasi) wa Dirishani pale hatujakujua....... [emoji1787]
  4. GIANTMIND

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi Ujumbe wangu kwa Tanesco ni Kwamba inaonesha shirika limewashinda tu ! How come wenzetu teknolojia zimekuwa na nyinyi hamuendi Ku Acquire knowledge...yaani mpaka hatuelewi Mvua zote hizi zilizonyesha na Still Umeme unakatika kifalafala Kila Siku na ni aibu kwa Mji kama Dar es salaam tena...
  5. GIANTMIND

    Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

    MaEngineers wa Mloganzila hakikisheni mnawafunga na sticker za User Manual hayo maviumbe yenu Maana tunakoelekea mnatuletea maroboti tu huku Kitaa!
  6. GIANTMIND

    Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

    CHAMABATA(Chama Cha Mabaharia Tz) Mabaharia tumekaa kikao tumeona tuwekeze nguvu Sasa kwa Flat screen. Say No to Tv-Chogo
  7. GIANTMIND

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Uzi unapumuliwa na wahuni sasa [emoji30][emoji42]
  8. GIANTMIND

    Mazoea ya kulala bila nguo

    Uko na Ufala Mwingi [emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji38][emoji23][emoji38]
  9. GIANTMIND

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ndio hivyo tu naheshimu Uzi wa Insider nisije nikamharibia kwa Maongezi tofauti. Sijui nikuanzishie Uzi nikuvutie pembeni huku nikushughulikie vizuri[emoji848]
  10. GIANTMIND

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Acha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa. Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu. Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka...
  11. GIANTMIND

    Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Kwani aliekwambia kwenda Marekani ndio kufanikiwa ni nani?... Wacha kukariri Maisha ....tafsiri ya Mafanikio ni tofauti kwa Kila Binaadam
  12. GIANTMIND

    Bado nina mashaka kuhusu kitabu hiki cha Biblia

    Jaribu kuandika Qur'an Yako mkuu halafu tuone hizo fictions unazosema. Qur'an Kuna mpaka kipimo Cha uzito wa maneno .....Kafuatilie Elimu ya Abjadi na Siri zake! Wacha kuropokwa usiyoyajua kufurahisha Genge tu! No One Can Manipulate Qur'an ni kitabu nje ya Upeo wa Binaadam na Viumbe wote.
  13. GIANTMIND

    Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mtoa Post huna Kazi ya kufanya ? That's personal life BHANA.. Nenda kamtizame JZ Marekani huko na hairstyle yake...Tafuta kibarua ufanye . Nonsense
Back
Top Bottom