Recent content by Ghostx

  1. Ghostx

    Interview za TRA hazijatenda haki

    Ndugu inaonekana uliweka matumaini makubwa mnoo kwenye hizi post.(wenzako hatufanyi hivyo)Alafu kusoma chuo cha kodi haina maana waliosoma vyuo vyengine unawazidi academically kwenye hio kodi na pia haina maana lazima uajiriwe TRA relax. Hii ndio maana ya interview Kuna watakaopita na...
  2. Ghostx

    Naomba kujuzwa uzuri wa hii Noah new shape

    mwamba alikaanayo mda gani kabla ya kuisukuma?
  3. Ghostx

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    sure, that's why huwa natembea barabarani just kuenjoy the ride.
  4. Ghostx

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    wana hawajakubali ikabidi waipige mkono wachungulie yaliyomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Ghostx

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    wazungu wana vile vigarage vyao viko uwani[emoji23][emoji23], wakiamua kufufua vigari vya babu zao wanakifufua kwelikweli.
  6. Ghostx

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Duuh!! hii ndio ile inaitwa unaachwa halafu unaachwa tena.
  7. Ghostx

    Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

    kuna siku nilikua natoka Dar to Sumbawanga, nilikua na newforce golden deer. ile show niliyoishuhudia wakimwagiana moto na ile BUL[emoji1373][emoji1373]. kama lingetokea la kutokea hakuna jiwe lingesalia. sema Majinga kawekeza sana kwenye mambio lakini sio usafi na starehe wakati wa safari.
  8. Ghostx

    Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

    Hawa jamaa hawana gari lenye comfortability zaidi ya mbio zisizo na maana.
  9. Ghostx

    Ufafanuzi kuhusu speed High way

    Ukimaliza kibao cha 50 jimwaemwaee tuuu, Ukiweza hata kupaa we paaa tu mkuu. NB:Akili kumkichwa.
  10. Ghostx

    Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

    Azam hata akionyesha Epl hataweza kushindana na Dstv sababu ni ndogo sana. Management and Technology. Azam hawako serious hapa. Tena hasa tukija kwenye swala la customer care services na quality ya channels zao.Tukumbuke watu wengi now wana TV zenye technology kubwa. Dstv ni ghali lakini...
  11. Ghostx

    Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

    Naunga mkono hoja mzee. Akili inahitajika sana bila kusahau uwazi pia. Mtoa mada inawezekana bado hajaona pisi inahudumia mwamba ambae bado ana hustle kusaka mpunga. Kwenye mapenzi 1+1 jibu sio lazima liwe2 [emoji3577]
  12. Ghostx

    Madereva tuache tabia hizi

    Kabisa mkuu. Hawa jamaa hawajui kitu kinachoitwa kusubiri barabarani. Japo sio wote,wapo wanaoendesha kistaarabu sana.
  13. Ghostx

    Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Sio kwamba tunapenda kuishia getini. Siku hizi ukifika tu kama huna appointment na muhusika wa office husika unajulikana shida yako ni kulilia kazi. Na ukiongopa kama unaenda mfano kwa HR, utaulizwa majina yako matatu na palepale anapigiwa simu. Hii imeshanikuta. So kupunguza usumbufu...
  14. Ghostx

    Madereva tuache tabia hizi

    Kuna hawa wa bodaboda, Huwa hawajui kusubiri. Wanapenda kujichomeka katikati na kupita na side mirror zetu. Hawa wako radhi chombo chake kitembee bila breki lakini honi iwepo. Gari nyingi hasa Dar zina mikwaruzo ya kuchubuka rangi kisa ni hawa vijana.
Back
Top Bottom