Hii ni moja ya biashara nitakayopenda kuja kufanya huko mbeleni but naona kabla hujaanza ukatafute namna flani ya kuongea na wamiliki wa mabus yanayoenda mengi ukanda huo mfano NewForce/Holden Deer
Posho kwa madereva hiyo ni utaratibu upo toka enzi na enzi ni lazima utawalipa na watapata...
😂😂😂hapo wewe ndo unaweza kujiona mjinga ukija kujua kias wanachoingiza kwa biashara mkuu mimi nafanya Hiyo biashara reja reja tu nalipa kodi mara mbili ya hiyo na nina uhakika wa net profit siyo chini ya 3.5M hapo gross profit inacheza kwenye 4.5 mpka 5.5M
Katika vitu nimejifunza ni kuacha ku complain kabisa japo sometimes ma bro wanazingua wanataka ule ugumu waliokutana nao na sisi tuumie nao kwanza na ndo maana ngozi nyeusi hatuendelei kabisa kwann tusijifunze kwa hawa waarabu au wahindi jinsi wanavyo train wadogo au wanafamilia wao
Yote kwa...
Kama wapo shuleni kwa sasa wanaandikisha kupitia shule zao wanaposoma kwa gharama zile zile but kama hawapo shuleni na ni yatima hiyo ni changamoto kubwa system imeamua kuwatenga pia
So sad🥲
Hiyo biashara kuna jamaa kafanikiwa kwa kiasi fulani but inabidi uwee katili kweli kusimamia hiyo biashara na kingine yeye bajaji zake zote zinapita route moja so it means anaziona zote muda zinafanya kazi na kulaza zinalala nyumbani kwake zotee jamaa hacheki kabisa na vijana
Hizo hustle zako mimi nakubali kabisa kaka na pia ulipata bahati sanaa watu ulofanya nao kazi walikuwa wamenyooka
Kwa upande wangu nilifanya biashara nikiwa bado nasoma chuo nikafikisha 10M bahati mbaya corona ikajaa ikalamba mtaji wote ukakataa
After chuo nikajichanga tena mtaji wa 15M...
Mimi ninaishi gomz but mbagala kuna watu aseee yani ukitoa lile nyomi la kkoo bas inafuata mbagala aseee yani mbagala siyo rangi tatu tu mpk huko mbande,chanazi kongowe mpk vikindu fulu nyomii
Na njia rahisi angalia gari zinazotoka rangi tatu kuingia maeneo mengine ya mbagala afu njoo gomz...
Mimi ni graduate kama wewe tu mkuu tena wa kada unayotoka wewe tunafanana kidogo kitaaluma. Hilo swala kiuhalisia linatutesa vijana wengi sana na tatizo siyo wazazi but ni ile mindset yake hasa akiwa ameajiriwa na hajawah kufanya biashara kabisa
Kwa upande wangu me nilishasoma mchezo toka niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.