Recent content by Ghost Worker

  1. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimekula buku 11, si bora wewe
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Ni kweli 1000% Tena hao wa jogging ndio wumbwa kabisa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Zamani mbona walikuwa wanazoa hadi 2.0 GPA, hawakufundisha?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Hebu acheni kutishana na maneno ya kipuuzi watu wakaacha kujaribu bahati zao. Hata iweje ajira huwa hazitoshi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tume ya vyuo vikuu na wizara husika kufuta Degree ya ualimu masomo ya Arts

    Swali linakuja, sheria gani imesema wakimaliza LAZIMA waajiriwe?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tume ya vyuo vikuu na wizara husika kufuta Degree ya ualimu masomo ya Arts

    Tulia ulambe dawa mkuu, kwani Sociology na law wakimaliza wanazikuta ajira zinawasubiri ee?? Hakuna aliyeshikiwa bunduki akasome alichosoma.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wadudu kwenye ubongo wa mbuzi

    Ndio maana wana akili mbovu sana hawa jamaa[emoji238]
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

    Nzuri hii
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    PIGA CHINI
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete nchini India, Waislam waandamana nchi nzima kupinga kile wanachokiita 'kumchafua' Mtume Muhammad

    Wanafahamu kuwa yupo mwenye kutoa hukumu na haijaandikwa popote kuwa ana wasaidizi duniani.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Mwaka huu huu mkuu
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Wito kwa wadada. USILEE MWANAUME. Sisi wanaume hakuna anapenda kulelewa. Ukiona kakubali hyo kadhia basi hana namna, na 95% ya wanaolelewa hawakufuata mapenzi bali survival tu. Amini, amini akifanikiwa tu ATAENDA ANAPOPAOTA. Mjifunzage kwa mifano hai toka kwa wanaowazunguka. N.B Simaanishi kwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wahudumu wa kike wa mahoteli mbona hawana utu?

    Itakuwa ya ngozi za kitimoto
Back
Top Bottom