Recent content by Ghiti Milimo

  1. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Mnao elewa,vipi, ataendelea kupata mafao ya Ustaafu wa nyadhifa aliyokuwa nayi?
  2. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Hiviii,Tundu Lissu akipatikana na hatia,kuna tuzo atapewa Katuga?

    Si uhaini tu,hata sioni kama alikuwa ana kesi ya kujibu!
  3. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Hiviii,Tundu Lissu akipatikana na hatia,kuna tuzo atapewa Katuga?

    Wadau, salaaam! Moja kwa moja kwenye mawazo yangu. Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, MH. TUNDU LISSU, toka siku ya kwanza mpaka leo hii kwenye hatua ya maswali ya kudodoswa, bwana Lissu mwenyewe. Toka mwanzo, mwanasheria huyu wa Serikali, Bwana Nassoro Katuga, tofauti na...
  4. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli, mchekeshaji Said Said kashambuliwa sio kiki

    Pesa na vyeo, ndio kila kitu. Leo hii ukimuonyesha picha hiyo, anaweza kujikataa!
  5. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania CAF yatoa viwango vipya vya ubora wa klabu, Simba yaporomoka

    Hauna akili. Kwa hiyo huko kwenu, kipimo cha viwango, kinapimwa timu ikicheza na UTOPOLO?
  6. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Ulitaka wanyang'anywe yale magari eeee?
  7. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

    Binafsi, sioni kama ni sawa. Ilitakiwa, aliyeweka katazo hilo, tena kwa kumuagiza IJP, arudi na kutengua lile agizo. Ila, haishangazi, kama kile KITOTO cha UVCCM kiliweza kumkemea MAKAMU WA RAIS, na pia yule Mzenji kumuita MSALITI, hakuna aliyewakemea, unategemea nini?
  8. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

    Hiviii, walirudisha yale magari?
  9. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Na wewe una familia kabisaaa....., inakutegemeaa?
  10. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Lione nalo hili! [emoji90]
  11. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Lione nalo hili! [emoji2962]
  12. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Robo 3 ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari - Msukuma. Hii sio kauli ya bahati mbaya

    Sina shaka yule Ali Kessy mzee wa 'NAMANYERE' angekuwepo mjengoni, hao jamaa wa Zenji, wangekiona cha mtema kuni! Jamaa alikuwa hawakopeshi hao!
  13. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na kufungwa kwa Timu ya Tanzania under 17

    Umeliona li MAKONDA na matak….. yake!?[emoji23][emoji1787][emoji23]
  14. Ghiti Milimo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

    Wote wenye mawazo haya kama yako kuhusu GWANDUMI, basi sio wasikilizaji wazuri wa yale majadiliano huko RADIO DW. Sina shaka, kati ya wachangiaji waliokuwa hawapendwi na CCM, huyu alikuwa namba moja! Jamaa alikuwa anapiga spana, sio kawaida. Ningesikia kuwa "AMEPOTEZWA",nisingeshangaa! Apumzike...
Back
Top Bottom