Recent content by ghetto masii

  1. G

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    pamoja na kujaa watu wenye UPEPO kichwani kama wewe, bado JF linaitwa jukwaa la Great Thinkers... kama Great thinkers tulionao ndo hawa, basi Tanzania kama taifa lina janga kubwa.. Great thinker asiejua kua miundombinu bora ni engine ya uchumi? dah kweli Tz vituko hamuishi
  2. G

    MUSEVENI: Uganda territory extends up to Nakuru, Mzee Kenyatta grabbed our land

    we jamaa boya kweli TANZANIA tunawaonea wivu ndo kutwa mnashinda mnatangaza vitu vya TANZANIA ni vya kwenu! mlima Kilimanjaro wa kwenu, Pemba ya kwenu, Samatta wa kwenu nk... nadhan mixture ya miraa na chang'aa mnayotumia inawaendesha vibaya..
  3. G

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    wengi dizain yako hua mkiulizwa uinjinia mmesomea hua mnadai ni utundu utundu tu na ujanja.. hamna vyeti kwaiyo mngejielekeza kwenye kukosoa miradi ya ujenzi wa nyumba za mgongo wa tembo na slop za wakulima wenzenu mashambani sio miradi mikubwa na complicated kama unayoikosoa...
  4. G

    Hivi kuna watu kweli wamenunua hisa za Vodacom?

    sio kama wachawi, hawa ni wachawi kwa kila dalili wanayoionyesha
  5. G

    Wasafirishaji Abood, Alsaid, BM, Champions na watu wa malori mjiandae kisaikolojia

    zitatumia umeme na diesel.. tafuta kisingizio kingine
  6. G

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    masupervisor kwenye site za matofali mnakuaga wajuaji sana.. nadhani taarifa unazozitaka ziko wazi wizara husika, rahco na kampuni kuu ya uturuki iliyoshinda tenda na wasaidiizi wao kutoka ureno.. watembelee mchanganuo wote utaupata pale...
  7. G

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    hahahah... hawa vibarua kwenye sites za kufyatua tofali wanazingua sana na utaalam wao
  8. G

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    umeshasema we sio engineer sasa haya mambo utayajuaje? hata hostel UDSM walisema haziwezekani kwa bill 10 ila leo makandarasi na wahandisi pori wote waliokomalia huu upuuzi wamekimbia jukwaani
  9. G

    Zitto akishindwa kuthibitisha uhusika wa Usalama wa Taifa afanywe nini?

    afumuliwe tu malinda na wachukue video ya tukio... hii inatosha kabisa
  10. G

    Kero za mtandao wa Tigo

    nina vocha tatu mfukoni toka maduka matatu tofauti zote niliweka nikaambiwa zimetumika, nikawapigia wakaniambie nipige 104 niziweke kwa njia nyingine, nikapiga na kila nikiibiza namba za vocha naambiwa namba suo sahihi na mwisho wa siku nikaambiwa niende tigo shop nikapewe vocha nyingine ambapo...
  11. G

    Kimenukaa Urusi vs Marekani

    dah ustadh ungepitia kwanza andiko lako kabla hujaileta hapa.. naona unachanganya destroyer na aircraft carrier.. destroyer inabeba makombora na kushambulia wakati aircraft carrier ndo inabeba ndege nyingi zikiwa za mashbulizi kwa ajili ya kusogeza mashambulizi karibu.. destroyer inabeba...
Back
Top Bottom