Recent content by Ghaysh

  1. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Nikionaga kijana kavaa haya maviatu

    Binafsi mtu pekee ninayemuona hayuko sawa ni yule aliyevaa nguo chafu au inayoonyesha sehemu zake zisizifaa kuonekana hovyo. Vilivyobaki vyote kwa ni sawa tu, kwa sababu hata huo uvaaji mnaosema ni wa utanashati umetokana na maoni ya baadhi ya watu waliona inawapendeza zaidi.
  2. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania PM express cargo tunasafirisha mizigo kutoka China kwa njia ya anga

    Hizo ratiba ulizoweka ni uhakika boss?
  3. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Baadhi ya kazi tulizozifanya
  4. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  5. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuprint T-shirt heavy duty

    Mkuu kama haukupata hadi leo njoo pm tuzungumze vizuri
  6. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

  7. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

  8. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Ushauri wangu nikiwa kama mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye industry ya graphics design na printing kwa ujumla. Baada ya ongezeko na college uchwala nyingi kuanza kufundisha wanachokiita graphics design soko la ajira hii limebadilika sana ila kuna opportunity nyingi kama utakuwa ni...
  9. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Hata huko anakoenda ni sehemu ya mapambio mkuu.
  10. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Wengi mumemlaumu afisa usafirishaji na mkasahau kuhusu swala la site ya dereva wa hiyo gari😁😁😁. Munang’ang’ania spidi ya boda utafikiri hiyo gari ni jiwe. Nawakumbusha tu wanaoendesha hizo gari za kubeba watalii wanakimbia sana hasa wakiwa wanawafuata watalii. R.I.P mpambanaji 🥹🥹🥹 N.b mimi sio...
  11. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    Quality ndio kipaumbele chetu
  12. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    Jikoni
  13. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    Karibuni
  14. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    Bango la 3D tunafanya 450,000 kwa square meter moja mkuu
  15. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    Kuanzia 15,000 bosi
Back
Top Bottom