Recent content by GHATAK

  1. G

    JamiiForums Tanzania Je, yapi yatakuwa maneno ya UKAWA ndege mbili zitakapowasili (watasema ni chakavu?)

    Ni hoja ya ajabu kushabikia ndege ambayo hujawah hata kuingia ndan yake huku gharama ya mchele sh 2200 kwa kilo,uwe na mawazo yanayomsaidia mtu wa chin sio kushabikia tu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Ukifikishwa tu gerezan ukiulizwa kosa sema niliuwa kwa kutumia meno,hapo utaishi under presha
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    ITV vipind vya usiku Queen of sword,Beast Masters na Renegade.Dah!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nani Role model Wako?

    Peter Tosh
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    Hao ni machalii wanataka dooo zao
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    NI KWELI MLETA UZI AMEFANYA MENGI KWA MUDA MFUPI.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumishi wa Umma: Kuna uhakiki mwingine umeanza tarehe 31Julai na mwisho 5 Agosti. Fanya hima

    TUMECHOKA NA MANYANYASO YAO YA KILA SIKU,WATUOMBE NA VYETI VYA UBATIZO NA VIFO ILI TUMALIZANE NAO.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tulipoambiwa watumishi hewa...

    Kila kukicha ni hofu tuu, ila Mungu yupo kwa wote. So sad news
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyakula vinavyoongeza hamu ya kujamiiana

    NDIO HIVYO PLUS GOGOGO
  10. G

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!

    ACHA SHERIA IFUATE MKONDO
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani ushughulike vipi na Lipumba

    HUWEZI PAMBANA NA KIVULI
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyakula vinavyoongeza hamu ya kujamiiana

    KWA WATU WA KANDA YA ZIWA NI SUPU YA FURU NA KAMONGO NDIO HABARI YA MJINI
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka account password yangu ya fb

    huyo sio mke wako ni hawala
Back
Top Bottom