Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Uyo sio mtu yeyote ni mkeo na mumeshakua kitu kimoja ndo maana mnatumia shuka moja na ndio maana mnaunganisha vikojoleo matokeo mnapata watoto ....mpe password acha blah blah...shubaaamiiiiiiit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke kiboko, badala aombe password ya bank anaomba ya fb, mbombo jillipo ‍♀️‍♀️‍♀️
 
Si umpe

Hupendi kushare password na mtu yeyote yule! Sasa huyo si mkeo mwili mmoja! unakuaje na malengo ya pembeni tofauti na mkeo
Wewe sio mume mwaminifu wewe.
 
Hakuna haja ya kumpa
nyie ni mwili mmoja ila kuna mambo yanatakiwa kuwa faragha ya mtu binafsi kama a/c za social media, bank n.k
Ila kama unaona ni sawa mpe tu
Hakuna kinachotakiwa kuwa faragha mkishaoana, faragha ni nyote wawili. Kama mnaonana na kuingiliana uchi then faragha ije iwe social media account! Bank account!! Si ndo mwanzo wa kutoaminiana na kutayarisha kuvunjika ndoa huko baadae.
 
wanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke

Sent using Jamii Forums mobile app

ahahhahahahahahahhahahaa hii kali sasa jaman! we mwambie kwa upole anachofanya kinakukera! mie zaman nilikua napiga simu kwa WEMA nauliza uko wapi?(naanza na hilo neno) akanisema weeeee tena kakasirika hatak kuulizwa 'upo wapi' toka hapooo!napiga ikiita naeleza njoo na kitu fulan! easy tu!mwambie hupendi!....! kwakwel sijui na siwez fatilia mume mm aic
 
Za asubuhi wanajamii,

Mimi ni mzima wa afya,

Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha.

Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu.

Naomba ushauri nifanyeje?

NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio zao hizo,lengo ni kutaka kukuonyesha kuwa yeye ni mtakatifu sana.
 
wanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke

Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho ya paka sana aiseee, mie siwezi kuishi hivo na mwanamke
 
Za asubuhi wanajamii,

Mimi ni mzima wa afya,

Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha.

Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu.

Naomba ushauri nifanyeje?

NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief kama ni swala la pasword tu si umpatie tu shemejiiiiii???au kama kuna agenda nyingine inayoendelea ni vyema ukawa muwazi
 
Usimpe chochote atakachofanya TCRA watakukamata. Mda mkiwa pamoja fungua aingie aperuzi Kisha logout
 
Huyo mkeo naye itakuwa anataka kukufukulia makaburi. Teh teh teh.

Ila maamuzi ni yako na wewe ndio unajua mziki wa mkeo pindi utakapomwambia hutampa ukoje.
 
Mumy ukiona jambo jepesi kama hilo mtu anakuja kutaka ushauri huku jua hana dalili ya kumpa zaidi anatafuta uongo wa kumdanganya ili asimpe.

hahahahah lakinkwann aitake?mie nahis italeta machafuko tupu!ukimchunguza sana bata....
 
Back
Top Bottom