Recent content by geukeni

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    Ila kweli jamani me nilipomaliza form six nilienda kwa mama yangu mdogo nukakutana na mwanae anasoma darasa la tatu nikawa namuogopa hata kumchokoza kuongea nae kingereza maana alikuwa anateleza mbaya
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Manispaa ya Kinondoni (01/05/2015) muda huu

    Waacheni wagome kama hawajapewa haki yao
  3. G

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

    Tukianza kuapishana kizembe hivi mwisho wake so mzuri.itafikia wakati mpaka rais tutakuja kumuapisha kihuni hivihivi.serial I kemea upumbavu huu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushindwa vibaya serikali za mitaa

    Kweli LA INI kwa mfano huku kilindi Tanga no CCM turn hakuna mpinzani
Back
Top Bottom