Habari mtaalam! Mimi nina tatizo la tumbo kujaa gesi na baada ya kujaa gesi najihisi kwenda haja kubwa. Kwa siku najisaidia haja kubwa zaidi ya mara nne hususan wakati wa asubuhi. Tumbo likijaa gesi hata kazi siwezi kufanya. Hiyo inaweza kuwa dalili za uchawi?
Sawa, nitazingatia ushauri wako ila mashaka yangu ni kwamba nimefika zaidi ya mara moja kufuatilia jambo hilo na majibu ni kama hayo niliyoandika hapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, nimelipia umeme baada ya kukamilisha taratibu zote, nyumba ipo ndani ya umbali wa mita 30 (i.e. 19 meter) kutoka kwenye nguzo leo ni siku ya 36 sijafungiwa mita. Kila nikiuliza naambiwa mita hazijaja kutoka Bukoba mara hakuna nyaya. Naomba unisaidie...

Benki ya CRDB ni miongoni mwa benki zinazofanya vizuri sana hapa Tanzania kibiashara. Maeneo ambayo benki hii iliboresha na kuwa ya kupigiwa mfano ni eneo la huduma kwa wateja haswa kipengele cha kuwajali wateja. Watu wengi walikimbia foleni za NMB hususani watumishi mbalimbali.
Kwenye upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.