Recent content by GERMANY

  1. G

    Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Hofu yangu ni kwamba tusije tukawatafutia wazungu sababu ya kutuvamia, tukawa kama Libya ya Leo.
  2. G

    Tupige story, niulize chochote

    Tulia ufanye mambo ya msingi kuliko kuja kuomba maswali humu!
  3. G

    TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

    Suala sio kulazimishwa, kodi take ndio mapato ya serikali tunayoilalamikia kubwa huduma za kijamii hazipo kumbe tunashiriki ujinga wa kukwepa kulipa kodi! Hiyo anayekwepa kulipa kodi anihujumu nchi! TRA njooni Humu watu watoe ushirikiano.
  4. G

    Toyota premio inauzwa

    Sio vizuri na wala sio ustaarabu kutoa matusi ya hivyo! Bei hupangwa na soko, umeona hajafikia mjibu kistaarabu!
  5. G

    Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

    Travota naomba 42 nipo Mabibo mwisho napataje?
  6. G

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _________________ ___________________
  7. G

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakazi wa Chanika Mgeule tunaomba kuletewa huduma ya umeme jamani, wakazi wa huku tumetengwa.
  8. G

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kila jambo jema lazima Kuna machungu nyuma yake!
  9. G

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Anatupeleka nchi ya Asali na maziwa.
  10. G

    Kwako mbunge wa jimbo la Ukonga

    Mh.Mbunge Ni matumaini yetu uumzima wa afya njema! Sisi wananchi wa Chanika Mjeule tunaomba kujengewa daraja kwenye bonde la kuelekea Kisarawe! Ni adha kubwa Sana tunaipata kipindi cha mvua! Watoto wanashindwa kuvuka kwenda Shule,watu wakubwa huvua nguo kwani maji hufika mpaka kiunoni! Tunaomba...
  11. G

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Wakazi wa Chanika Mjeule tunapata tabu kipindi cha mvua,kwani tunashindwa kupita kwenda makazini kwasababu mto hujaa maji! Tunaomba kero hii itatuliwe kabla mvua hazijaanza
  12. G

    Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu vifikirie namna ya kufanya ziara katika mikoa yenye wapenzi na mashabiki baada ya ligi!

    Kwa mfano Simba inafanya kila mwaka tamasha la simba day hapa Dsm, kwanini wasifanye mikoa tofauti kila mwaka katika harakati za kuongeza mashabiki pamoja na wapenzi katika mikoa mingine?
  13. G

    Tuthamini michezo kwa mustakabali wa vijana wetu

    Mabadiliko katika Ulimwengu wa sayansi na technolojia Ni kitu ambacho hakiepukiki. kwa kuwa tumelelewa katika tamaduni za kuabudu tamadani za magharibi kwa maana ya Ulaya,hatuna budi kujitafakari kama taifa kuwa michezo Ni ajira pekee katika ulimwengu wa ssasa kwa vijana katika taifa lolote...
Back
Top Bottom