Toyota premio inauzwa

Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Dah, hiv anayetukana... ni kalanga huyu huyu mwenye undugu na james delicious au? Kama ni ww... tunaomba ubadilike mkuu, tumeshakuonya sana majirani zako hutaki kutuelewa...
Badilika mkuu kalangalicious.
 
Vijana tunakua na ujasiri bandia sana tukiwa nyuma ya keyboard, ukijiona unapata unaweza kutukana kwa sababu tu mtu amekutajia dau unaanza matusi ujitazame marambil
Kama ametaja dau nikamtukana ndo atulize tako. Kwani lazima kununua ???
 
Dah, hiv anayetukana... ni kalanga huyu huyu mwenye undugu na james delicious au? Kama ni ww... tunaomba ubadilike mkuu, tumeshakuonya sana majirani zako hutaki kutuelewa...
Badilika mkuu kalangalicious.
Itakuwa Unaumwa mavi ww sio bure
 
Itakuwa Unaumwa mavi ww sio bure
Kalangalicious... kalangalicious... kalangalicious... nimekuita mara tatu, nilishakuonya mara nyingi juu ya matusi.. ukiendelea ntakupa laana.
Ni mimi mjomba ako wa tandale kwa tumbo... naamin umeshanijua na utakaa kimya.
 
Sio vizuri na wala sio ustaarabu kutoa matusi ya hivyo! Bei hupangwa na soko, umeona hajafikia mjibu kistaarabu!
 
Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Huna adabu , Ulaaniwe milele, Unamjua babake hadi umtukane kiasi hicho? Kama babake ni marehemu unafikili umefanya vizuri? Biashara ni maelewano kwani ungemwambia hela Yake Mdogo aongeze kiasi Fulani ulikuwa unadhurika nini? Acha ujinga wako hapa.
 
Hivi Dr Louis Shika nasikia alijidhamini mwenyewe baada ya kushikiliwa na polisi kutokana na kuharibu mnada wa majumba ya Lugumi. Nadhani hata mil 7 ingependeza zaidi.....
 
Dah huyu ni MTU aliyeomba msamaha! Haiingii akilini kabisa. Msamaha halafu bado matusi ya rejareja yanaendelea kiana.
Na log off.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom