Recent content by Gerldou

  1. Gerldou

    TANESCO emergency Tabata mnakera

    Kiukweli Tabata wanakera sana..ukitoa taarifa mpaka waje, lazima uende ngazi za juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Gerldou

    Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

    Wanapenda Pesa kuliko utu
  3. Gerldou

    Nimesoma Bsc COICT (UDSM), nimesoma Msc. CIVE (UDOM), naitabiria makubwa UDOM miaka 5 ijayo

    Duh kumbe sio mzoefu sana na mambo hayo! Kutambua ubora wa chuo si kwa koz moja tu! Kuna categories na facts, mi nimesoma Udsm Bsc in Mechanical Eng wakat COeT Inaitwa FoE! Ilikuwa vizuri sana ht msc nimesoma hapo, naona kabisa my performance is good! Kumbuka kuna Bsc in Eng na B in Eng! Ni vitu...
  4. Gerldou

    Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    Yes! We ndo unawajua vyema! Yan anahesabu siku za hatari tu !! Akiona hadaki mimba anatekezaaa
  5. Gerldou

    Mashine ya kukagua gari(Auto diagnostic machine) inauzwa bei gani?

    Sivijui vzr! Hebu tuchekiaje DM bro
  6. Gerldou

    Mashine ya kukagua gari(Auto diagnostic machine) inauzwa bei gani?

    Wakubwa! Hbr vp! Nauliza machine ya kupimia gar *Auto diagnostic machine* inauzwa bei gan na upatikanaji wake upoje?
  7. Gerldou

    Kufungua biashara ya garage

    Sasa natafuta kujua wapi napata hivyo vifaa na bei yake
  8. Gerldou

    Kufungua biashara ya garage

    Hapana mkuu, biashara huwa unaanza taratibu!
  9. Gerldou

    Kufungua biashara ya garage

    Bro asante sana! Hii nimeikubali
  10. Gerldou

    Kufungua biashara ya garage

    Kutengeneza magari, service and repair! Panel bitting and body work
  11. Gerldou

    Kufungua biashara ya garage

    Wadau kwema, naomba kujua ni vifaa gani muhimu wakati wa kufungua biashara ya garage! Namaanisha tools and eqpmnt
  12. Gerldou

    Yaliyojiri Leo baada ya kuibiwa simu miezi mitatu iliopita

    Samahan mkuu hivi unafanyaje ili kuweza kuipata! Mimi natumia Iphone 6plus ila bado sijaijua vzr
  13. Gerldou

    Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

    Ntakutafuta inbox unipe darasa kdg
Back
Top Bottom