Recent content by Geredi

  1. Geredi

    Natafuta vijana wawili wa kuchoma chips

    Oh Asante Kwa kunisahihisha najaribu kuedit Title naona hakuna option hiyo.
  2. Geredi

    Natafuta vijana wawili wa kuchoma chips

    Ah! Hapa siombi CV ya elimu yake Kwa mantiki hiyo Mimi sitaweza kujua kuwa huyu ni graduate ama la labda aseme yeye. Wasiogope
  3. Geredi

    Natafuta vijana wawili wa kuchoma chips

    No ya simu Kwa Sasa siwezi toa hapo, kama kutakuwa na kijana yuko interested tupige kazi aje Inbox huko tukielewana nitampa no zangu tuwasiliane vyema. Wala hakuna ubaya ndugu zangu.
  4. Geredi

    Natafuta vijana wawili wa kuchoma chips

    Habari, Kijana, yoyote mzoefu wa KUCHOMA chips na mishikaki aliewahi Fanya hiyo kazi hapa Dar es Salaam au sehemu nyingi tuwasiliane aje PM. Au kama anafanya tayari kuna ila hana mtaji wa Kutosha wa biashara mimi nipo tayari kutoa pesa , tutaona tunaelewanaje. Nahitaji vijana wawili tu...
  5. Geredi

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Hukuwa na haja ya kumtukana jamaa kipindi hicho October maana hakuchukua hata mia yako kutabiri haya..[emoji3][emoji3]
  6. Geredi

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Jamaa ni Mtabiri mzuri sana,na wengine huwa tunakuwaga na maono mengi sema ni ni hofu ya kuyasema ,mengi huwa ni exactly 80% hata kwenye personal life...haya yanawezekana kuonyeshwa ya mbele japo siyo lazima yafanane yote... Kudos..kwake
  7. Geredi

    Nitafanya biashara gani?

    Humu utapokea ushauri mwingi sana ila zingatia misingi yako na target yako kulingana na kiasi ulichonacho
  8. Geredi

    Nitafanya biashara gani?

    Unakaa maeneo ya mjini au kijijini
  9. Geredi

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Zipo Kwa playlist yangu... Tuko pamoja
  10. Geredi

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Na recommend huu na ndio nusikiliza sana The Chainsmokers -_- Family Almost nyimbo zote za hawa jamaa naweza sikiliza a month na. New album Yao ya "The fall"
  11. Geredi

    Naombeni ushauri: Je, nimuache binti niliyezaa naye ili niwe na binti niliyekuwa naye kwenye mahusiano tangu chuo?

    Kasomea pharmaceutical technician... Bado hajapata leseni , Bila leseni wao kazi inakuwa changamoto, ndio nilikuwa mbio kimlipia afanye paper la leseni, now kagoma.
  12. Geredi

    Naombeni ushauri: Je, nimuache binti niliyezaa naye ili niwe na binti niliyekuwa naye kwenye mahusiano tangu chuo?

    Busara na hekima ni jambo la msingi sana. Hapo usije ona Sina msimamo, labda Kwa sababu natype hapa keyboard unaona namna gani vile.
  13. Geredi

    Naombeni ushauri: Je, nimuache binti niliyezaa naye ili niwe na binti niliyekuwa naye kwenye mahusiano tangu chuo?

    Kweli kabsa Hilo nalitambua, hata Mimi nilimweka bayana kabsa kuwa kama ataondoka mtoto bado atapata mahitaji yake otherwise amwache aondoke kivyake Hata kama hajafikisha Umri wa miaka 7 kisheria.
Back
Top Bottom