Nitafanya biashara gani?

Nitafanya biashara gani?

off-sir

Member
Joined
Dec 21, 2019
Posts
66
Reaction score
57
Wakuu bila kupoteza muda, wacha niende moja kwa moja kwenye point. Mimi ni kijana ambaye kama vijana wengine na ndoto za kufanikiwa.

Nimeona ni vyema nikapata ushauri kutoka kwenu ndugu zangu nina kiasi cha fedha/ mtaji wa shillingi laki sita nifanye biashara gani au harakati gani ambayo itafaa kwenye pesa hiyo

Naomba kuwasilisha.
 
Humu utapokea ushauri mwingi sana ila zingatia misingi yako na target yako kulingana na kiasi ulichonacho
 
Back
Top Bottom