Huwezi kufunga maji yasiingie kwenye bwawa, ila unaweza kufungua maji yakatoka kwenye bwawa ili kina cha maji kishuke.
Hili la kufungulia maji lina madhara; mafuriko kwa wanaoishi chini ya daraja
NB:
Hilo la mashine kuzimwa lina kasoro: huenda maji yameingia kwenye mashine na huenda mashine...
Pesa ipo..mbona tunanunua magoli ya simba, yanga, taifa stars kwa 10m/goal.
Hivyo vibilioni 84 si ni pesa kwenda kusalimia ndugu zangu kule kwa wavaa makobazi kwa siku 10 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.