FIESTA MWAKA HUU WAMESANDA ,WAJIPANGE, WAJIPANGE SANA
1.Umeme wazingua gafla
2.Wasanii kibao walibaki,wafanya SHOW cku iliyofuata, wapewa tym ndogo sana ku-peform
3.Pombe,Matuc ndo kilichoendelea kati ya WA MITEGO na Adam Mcho.....yaaani ni NOUMA SANA , Ni kudharirishana na kukosoa...