Recent content by george mdee

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku matamko ya dini kusomwa kwenye nyumba za ibada

    Msimlaumu saaana mtoa mada,uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo!,post yake tumeisoma,tumeichangia,nampongeza,siku nyingine atatuma mada yenye akili,mtieni moyo.
  2. G

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wafanya kituko Butiama, Lissu afukuzwa

    Wenzio wanapata vyeo kwa sura na maumbile yao,naona wewe huna mvuto.Jaribu kwa kupitia UJIKO WA CHADEMA labda utaonekana upate angalau u-housegirl.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Heri ya pasaka wananchi wa Kigamboni, Hongereni kwa maamuzi magumu dhidi ya Diwani.

    Wafuteni kabisa MAGAMBA ifikapo Oktoba 2015.M4C PAMOJA DAIMA.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Laki si pesa,mbona utajinyonga mwaka huu,CHADEMA haooooo!,wameondokaa.Kama mnampenda Zitto saaana msaidieni kulipa deni la kesi mliyomtuma.Huu ni mwanzo tu wasaliti wanaotumiwa na MAGAMBA wataumbuka wote,intelejensia ya CHADEMA si ya kitoto,haya sasa tafuteni pandikizi lingine.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna vurugu kwenye kikao cha Mh. Mbowe kanda ya Serengeti

    Wanaopanda kwa machozi watavuna kwa kelele za shangwe. HONGERENI MAKAMANDA OKTOBA 2015 TUTAVUNA PAMOJA.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kinana karibu Olasiti, karibu uzindue mradi wa Serikali inayotokana na CHADEMA

    Hongereni CHADEMA Olasiti kuwaongoza wananchi kujipatia huduma ya maji safi na salama kwa kipindi kisichozidi miezi mitatu ya uongozi wenu,CHAMA CHAKAVU(CCM) hilo liliwashi miaka 53 ya utawala wao wanachokiweza wao ni UFISADI tu wa mali za umma.SHAME ON YOU "MAGAMBA"!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    Kwani ziara zote alizofanya Kinana na Nape kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa wamevuna nini?.Uliza Mara,Mwanza,Kagera,Shinyanga,Simiyu,Rukwa,Mbeya,Iringa,Njombe,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Morogoro CHAMA CHAKAVU(CCM) wamevuna nini?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kifo Cha CCM ni matarajio ya WaTanzania

    Huo ndio ukweli,CHAMA CHAKAVU(CCM) KIMEFIKIA MWISHO!!!,MAGAMBA IBENI VYA MWISHO MWISHO ILA VITAWATOKEA PUANI. R.I.P MAFIDADI NA CHAMA CHENU.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Upinzani unakufa kila kona ya Tanzania - NAPE

    Mbona CHAMA CHAKAVU(CCM) hamuweki picha kwenye mkutano wenu wa Viwanja vya Barafu Dodoma?.Mnaogopa kudhalilika!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Jaji Warioba alikuwepo jana Karimjee na alikuwa amekaa na mzee Joseph Butiku.Mzee Warioba ni mtu wa watu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    Mzaha mzaha hutumbua usaha na dalili ya mvua ni mawingu,chondechonde watawala msifanye maskhara hali ni mbaya."TAFAKARINI MCHUKUE HATUA"
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari huyu kanishangaza sana

    Simalenga siku zote huwa anawaunga mkono hao mafisadi,anataka ukuu wa wilaya huyo
  13. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaahidi Kulifumua Jeshi la Polisi na Kuliunda Upya

    :mad:hapo sawa tunawaunga mkono
  14. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tusiwapuuze hawa

    Maziwafresh hoja uliyoleta jukwaani ina mashiko kwa ustawi na maendeleo ya chama chetu CHADEMA.ni lazima wananchi waone tofauti ya utawala wa CHAMA CHAKAVU (CCM) na chama tumaini la watanzania (CHADEMA).Kama viongozi waliochaguliwa kwa imani kubwa na watanzania watafanya mambo mabaya kama ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania CCM yaamua kumng`oa Selasini jimbo la Rombo

    Rock Spider,wapare tumeshituka,magamba hawafurukuti tena,enzi yao upareni imekwashaa waulize Anne Kilango Malecela na Matayo David Matayo wakueleze vipigo walivyovipata toka kwa wapare kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
Back
Top Bottom