Treni inachelewesha sana mizigo ndo maana wafanyabiashara wengi hawapendi kulitumia reli yetu hii tazara imezunguka sana ukilinganisha na barabara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka mikono isichubuke unapoweka sabuni kwenye maji subiri kidogo mkuu hata kwa dakika 20-30 Kisha ndo uanze kufua acha kidogo sabuni ikae kwenye maji
Agakhan ina matawi tabata segerea ,tandika mbezi ,kimara ,masaki ,bunju ,ukonga, mbagala yote hayo yanapokea Nhif z na service zote zinapatikana huko ww unakwama wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.