Nakosa amani kila uingiapo usiku

Nakosa amani kila uingiapo usiku

ZAB. :91:2
Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.

ZAB. :91:5
Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,

ZAB. :91:9
Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.

ZAB. :91:11
Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.

Pitia zaburi ya 91 yote na uombe kwa kuamini kabla ya kulala ahadi hizo za Mungu hakika zitatimia kwako. Pole sana
 
Walokole mshaanza porojo zenu
 
Acha porojo
Hiyo hali iliwahi kunikuta mwaka 2014 Nilikuwa naishi sina amani bila sababu yeyote hadi nilikuwa nalala kazini mchana hali ilyonipelekea kukaliwa kikao kazn .....

Suluhu niliipata 2016 nilipookoka na Yesu akawa kiongoz wangu nilijihis shujaa kila mda na yote hayo yakawa mwisho wake......
 
Brother, Funguka zaidi ili tukusaidie usiishie kusema hupati usingizi.
Kama unapokuwa kimya unasikia unaongea na watu kwa majibizano, Basi ujue kuwa, inawezekana Pineal gland yako imekuwa activated bila ya wewe kijiandaa na matokeo yake. Kama pineal gland yako imefunguka, Basi tarajia mengi zaidi ya hayo.
Pineal gland, au waweza iita jicho la tatu, inaweza kufunguliwa kwa njia nyingi tu.
1.kama ukivuta bangi, ndio maana sehemu kubwa ya wavuta bangi huwa wanaongea peke yao kama kamba kuna watu wanawaona kumbe wamo ndani ya mawazo yao.
2.Kufanya meditations za Astra projection,
3. Kulogwa. Mtu anapotupiwa fit au spell na mchawi, Spell hiyo huathiri pineal gland yake na kumfanya aweze kuwa possessed na spirits from the unknown. Spirits hizo hutumia pineal gland kuingiza command katika mawazo ya victim huyo.
Fungua kaka huenda kuna mambo ulifanya Siku za nyuma na ukayapuuza .
 
Wanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.

Ahsanteni Sana!

hivi wewe ni mtoto wa shule nini hoja isiokuwa na mshiko
 
Hiyo hali iliwahi kunikuta mwaka 2014 Nilikuwa naishi sina amani bila sababu yeyote hadi nilikuwa nalala kazini mchana hali ilyonipelekea kukaliwa kikao kazn .....

Suluhu niliipata 2016 nilipookoka na Yesu akawa kiongoz wangu nilijihis shujaa kila mda na yote hayo yakawa mwisho wake......
Kwa hiyo ni aina ya hofu au uoga?
 
Wanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.

Ahsanteni Sana!
USILALE NA MGONGO MKUU.LALA KIUBAVUBAVU HALAFU LETA MAREJESHO BOSS.
 
Mkuuu pole sana niliwai kuwa na hali kama hiyo salama yangu ilikuwa kulewa na ndolala nilivobadili makazi ile hali ikapotea hapo unapoishi kuna roho chafu zimeweka kambi cha maaana wewe hama hapo
 
1. Kwani umepitia Kwenye mitihani gani ya maisha?
2. Hiyo ni dalili mojawapo ya Mtu aliyerogwa!
Chukua hatua mapema !
 
Wanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.

Ahsanteni Sana!

Kuna hofu gani kuu ndani ya moyo/kichwa chako ukitaj hilo utasaidiwa mkuu funguka usaidiwe,

kifupi umebeba hivi vitu hapa chini

STRESS + Depression = ANXIETY

Kama huna unachokiogopa kikuogofyacho ni fear of unknown yaani unakiogopa ambacho hakipo!

Nenda kwa wataalami wa psychology watakusaidia haraka chief

Nakuombea upone, mwenyewe nimeteseka sana na hii kitu kwa miaka mitatu toka 2015 lakini sasa am some how ok but not fully
 
Thanks Bro, Unaweza Nisaidia Zaidi?
Kuna hofu gani kuu ndani ya moyo/kichwa chako ukitaj hilo utasaidiwa mkuu funguka usaidiwe,

kifupi umebeba hivi vitu hapa chini

STRESS + Depression = ANXIETY

Kama huna unachokiogopa kikuogofyacho ni fear of unknown yaani unakiogopa ambacho hakipo!

Nenda kwa wataalami wa psychology watakusaidia haraka chief

Nakuombea upone, mwenyewe nimeteseka sana na hii kitu kwa miaka mitatu toka 2015 lakini sasa am some how ok but not fully
 
1. Kwani umepitia Kwenye mitihani gani ya maisha?
2. Hiyo ni dalili mojawapo ya Mtu aliyerogwa!
Chukua hatua mapema !
Naomba Nisaidiwe Hatua Gani Ndugu? Yawezekana, Mi Ni Binaadam Pia
 
Hiyo hali iliwahi kunikuta mwaka 2014 Nilikuwa naishi sina amani bila sababu yeyote hadi nilikuwa nalala kazini mchana hali ilyonipelekea kukaliwa kikao kazn .....

Suluhu niliipata 2016 nilipookoka na Yesu akawa kiongoz wangu nilijihis shujaa kila mda na yote hayo yakawa mwisho wake......
Hallelujah
 
Hahaaa labda kuna anxiety mpya tutaigundua kutoka kwako ‘’ night time anxiety’’ lols, ni hivi mkuu unatakiwa kustructure your day kiasi kwamba mwili unachoka kabisaa kama wewe ni mtu wa office ukitoka kazini usitumie gari,tembea kwa miguu ukifika oga then lala,usingiZi utakuja automatically!!...siku za kwanza itakua ngumu ila kama ukifanikiwa kufanya hii programme into a routine then tatizo lako litaisha kabisaa
 
Aiseee pole sana mkuu,dawa ni moja tuuu,piga sana maombi ww mwenyewe au viongozi wa imani yako wakusaidie.

Huo ni ugonjwa unaosababisha mashetani tu.....

Mimi binafsi juzi kati tu nilikuwa na wasiwasi,sipumui vizuri,kizunguzungu,mwili kuchoka,namshukuru m/mungu ni maombi mwanzo mwisho,hali imeanza kukaa vizuri.
 
hama unakokaa, kama huwezi amua kuwa mtu wa dini yaani kumuamini Mungu, kumuomba na kujifunza kuhusu Yeye.
 
Unaweza ukaanza na kulala huku taa iko on kama unaogopa ama unafeel safe that way
 
Back
Top Bottom