Kwa mtazamo wangu!.
Watanzania inabidi tubadilike, tuache kulalamika lalamika, tuache uvivu, tuchape kazi kwa pamoja tujenge nchi yetu, tuige mifano mizuri ya Malaysia, China, Phillipines, korea, Singapore nk. nchi ambazo miaka ya 1960's tulikuwa karibu sawa katika hatua za kimaendeleo...